Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,793 Reaction score 48,021 May 4, 2020 #2 hahaha jamaa anaacha kila sehemu vizalia,hapo amekamilisha jumuiya ya mwanzo ya Africa Mashariki
Tuttie JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,265 Reaction score 1,306 May 4, 2020 #3 The Boss said: View attachment 1439408 Click to expand... 😅😅zuchu
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,629 May 4, 2020 Thread starter #4 Lucas Mobutu said: hahaha jamaa anaacha kila sehemu vizalia,hapo amekamilisha jumuiya ya mwanzo ya Africa Mashariki Click to expand... Halafu hawa wa Kenya ndo wanaulizia..
Lucas Mobutu said: hahaha jamaa anaacha kila sehemu vizalia,hapo amekamilisha jumuiya ya mwanzo ya Africa Mashariki Click to expand... Halafu hawa wa Kenya ndo wanaulizia..
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,374 Reaction score 123,412 May 4, 2020 #5 Duuh!! Aende Rwanda na Burundi sasa.
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 May 4, 2020 #6 Shadeeya said: Duuh!! Aende Rwanda na Burundi sasa. Click to expand... Nakazia pia asisahau na Congo, Malawi...
Shadeeya said: Duuh!! Aende Rwanda na Burundi sasa. Click to expand... Nakazia pia asisahau na Congo, Malawi...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,397 Reaction score 88,559 May 4, 2020 #7 Aende mataifa ya mbali Sasa ulaya na kule Asia maana naona kijana kipaji chake kinakuwa kwa spidi ya kimataifa 😅
Aende mataifa ya mbali Sasa ulaya na kule Asia maana naona kijana kipaji chake kinakuwa kwa spidi ya kimataifa 😅
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,510 Reaction score 11,452 May 4, 2020 #8 Lucas Mobutu said: hahaha jamaa anaacha kila sehemu vizalia,hapo amekamilisha jumuiya ya mwanzo ya Africa Mashariki Click to expand... 🤣 🤣 🤣 najua atakua anachungulia Rwanda muda huu
Lucas Mobutu said: hahaha jamaa anaacha kila sehemu vizalia,hapo amekamilisha jumuiya ya mwanzo ya Africa Mashariki Click to expand... 🤣 🤣 🤣 najua atakua anachungulia Rwanda muda huu
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 May 4, 2020 #9 Lucas Mobutu said: hahaha jamaa anaacha kila sehemu vizalia,hapo amekamilisha jumuiya ya mwanzo ya Africa Mashariki Click to expand... Kuna mtu anaitwa MICHAEL ESSIEN.. hatar huyu
Lucas Mobutu said: hahaha jamaa anaacha kila sehemu vizalia,hapo amekamilisha jumuiya ya mwanzo ya Africa Mashariki Click to expand... Kuna mtu anaitwa MICHAEL ESSIEN.. hatar huyu
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,747 May 4, 2020 #10 Hivi ni hawa watatu tu kweli?
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,793 Reaction score 48,021 May 4, 2020 #11 Idimi said: 🤣 🤣 🤣 najua atakua anachungulia Rwanda muda huu Click to expand... 😂lazima,ila nasikia wakati hajatoka alidharauliwa sana na wanawake huenda ndio sababu anawachakata sana
Idimi said: 🤣 🤣 🤣 najua atakua anachungulia Rwanda muda huu Click to expand... 😂lazima,ila nasikia wakati hajatoka alidharauliwa sana na wanawake huenda ndio sababu anawachakata sana
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,374 Reaction score 123,412 May 4, 2020 #12 Evarm said: Nakazia pia asisahau na Congo, Malawi... Click to expand... Hahahaaa!! Kabisaa.
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,510 Reaction score 11,452 May 4, 2020 #13 Lucas Mobutu said: 😂lazima,ila nasikia wakati hajatoka alidharauliwa sana na wanawake huenda ndio sababu anawachakata sana Click to expand... Ukiwa huna pesa kila mtu atakudharau. Kikubwa ni kusaka pesa tu
Lucas Mobutu said: 😂lazima,ila nasikia wakati hajatoka alidharauliwa sana na wanawake huenda ndio sababu anawachakata sana Click to expand... Ukiwa huna pesa kila mtu atakudharau. Kikubwa ni kusaka pesa tu
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,542 Reaction score 81,319 May 4, 2020 #14 Mnamzungumzia nani hapa?
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,286 Reaction score 18,567 May 4, 2020 #15 Hivi kupiga picha za hivyo kuwa kuna faida gani? Au zinamaanisha nini?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 115,257 Reaction score 185,555 May 4, 2020 #16 Mocambique na Angola Sent using Jamii Forums mobile app
Kukaja Kununu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 1,077 Reaction score 1,212 May 4, 2020 #17 Tutegemee rwanda
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,662 Reaction score 161,660 May 4, 2020 #18 The Boss said: View attachment 1439408 Click to expand... FaizaFoxy
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,392 Reaction score 48,163 May 4, 2020 #19 zaeni mkaongezeke muijazee dunia
Ethical Ninja CEH Snr JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 354 Reaction score 771 May 4, 2020 #20 Lucas Mobutu said: 😂lazima,ila nasikia wakati hajatoka alidharauliwa sana na wanawake huenda ndio sababu anawachakata sana Click to expand... Hii ndio jibu sahihi.. kwa wanaume wengi tuliopitia manyanyaso ya wanawake.. huwa silaha a.k.a pesa ikiwekwa mfukoni matokeo yake huwa ni uchakataji mwanzo mwisho
Lucas Mobutu said: 😂lazima,ila nasikia wakati hajatoka alidharauliwa sana na wanawake huenda ndio sababu anawachakata sana Click to expand... Hii ndio jibu sahihi.. kwa wanaume wengi tuliopitia manyanyaso ya wanawake.. huwa silaha a.k.a pesa ikiwekwa mfukoni matokeo yake huwa ni uchakataji mwanzo mwisho