Katika vitu vinakera ni pale mnapojadili mapungufu ya kiutendaji ya mtu kwa misingi ya jinsia.....Mi ningetegemea ajadiliwe kutokana na elimu,experience,uwezo wake wa kufikiri,exposure yake etc na hata tamaduni za chama chake na yeye mwenyewe.Kila mwanamke akikosea,eti chakula ya wakubwa,aliwaambia nani kuwa chakula ya wakubwa inapunguza ufanisi wa mtu wa kufanya maamuzi na kufikiri.........Mi naweza msema Mbowe kwenye jambo nikamlinganisha na mahusiano yake na wanawake???These are what we call cheap arguments za great thinkers,hao mnaosema ni chakula yao ndo waliomtuma na ndo mlipaswa muwajadili si yeye ambaye kabisa ukimsikiliza unaona katumwa. You can as well insult me,i care less...nimetoa maoni yangu.....ndo yale yale ya CCM eti HM eti msagaji,so what hata angekuwa,alishashindwa kutimiza wajibu wake akawa anasagana 24hrs au anatafuta watu wa kusagana nao 24hrs au anajadili usagaji ulivyo mzuri 24hrs?????
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa, hilo nalo neno? we unafikiri kuna kazi kwenye hizo nafasi kiasi cha mimi kusahau JF?hapana,nitarudi hapa JF nakutoa report,kuna mambo mengi sana Jf,siko hapa kwa bahati mbaya na nitadumu hapa labda waifunge.
Michelle, my take is you are joking and you dont mean kwamba utajoin CCM!
Sitta amesema 'mbwa mzee akikaribia kufa anapoteza sense za kunusa'....CCM ni mbwa mzee, haina uwezo wa kunusa hence all the errors and stupid decisions!! Joining will be fatal hata kama unataka kuprove theory! 'Wakikukosa' utatoka na uchafu mwingine! So my advice; dont even think of it!
Wewe nae nakuona ni hao hao... kinachifikisha suala hili lijadiliwe na wanajamvi kwa mtazamo huo ni
1. EXTRA CONFIDENECE aliyonayo kulingana na hali iliyopo, kwa kuwa hakuwahi kuwa na fursa ya kujibu mjadalka mzito kama uliopo.
2.Mfumo wa ki CCM unaoweza kumfanya HATA mtu sitye na uwezo KUJIBU hata jambo LILILO NJE YA UWEZO WAKE.
3. Hali halisi ya YEYE KUWAKUILISHA KAMA DIWANI kwa kupitia ubunge wa kuteuliwa mkoa wa mwanza.(lifikilie ili kwa undani zaidi)
Ha ha ha ha ha ha kama mama yako alivyokuwa chakula ya mtu fulani ndivyo nilivyo mimi,kuna shida gani kuwa chakula ya mtu??mimi ni mwanamke na niliumbwa kuwa na uhusiano na mwanaume,mbona Rose Kamili ni chakula ya Dr Slaa..........tofauti na anavyoweza kuwa mama yako na dada zako,mimi ninae wangu mwenyewe anayenipenda na kunijali na kuniheshimu na hanitumi kwenye mambo ya kipuuzi kwa kuwa anajali heshima yangu mbele ya jamii si kama huyo uliyenilinganisha nae.na hana kiherehere kama chako cha urithi.Bug off,uzabinazabina wapelekee ******* wenzio.
Majibu yako HAYAJAPISHANA SANA NA CHITANDA... kume sijakosea!!!!!!!!!!!
Thank you Alberto for bn wise and concerned. I will have to erase that idea in my mind.
mtu yoyote asiye tenda haki hatokani na mungu bali ni wa ibirisi!!!!!!
Kazi ya ibirisi ni kuua na kuchinja na kazi ya mungu ni kuokoa. Hivyo ibiriosi akiua anafurahia mauaji kama anavyofanya mary chitanda
Sikutofautishi sana na SERA ya Kilimo kwanza na MKUKUTA.... hapo sijakutia machoni utakuwa unafanana na MMEMS
Majibu yako HAYAJAPISHANA SANA NA CHITANDA... kume sijakosea!!!!!!!!!!!
Sawa,samahani kwa kukujibu hivyo,nilikasirika ulivyonitukana bila sababu ya msingi.Sistahili kufananishwa na huyo mama na naomba tuheshimiane,siko hapa kugombana na wewe wala kutukanana na wewe.
Ni mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Tanga na diwani wa arusha(kuteuliwa sijui viti maalum)
Katika vitu vinakera ni pale mnapojadili mapungufu ya kiutendaji ya mtu kwa misingi ya jinsia.....Mi ningetegemea ajadiliwe kutokana na elimu,experience,uwezo wake wa kufikiri,exposure yake etc na hata tamaduni za chama chake na yeye mwenyewe.Kila mwanamke akikosea,eti chakula ya wakubwa,aliwaambia nani kuwa chakula ya wakubwa inapunguza ufanisi wa mtu wa kufanya maamuzi na kufikiri.........Mi naweza msema Mbowe kwenye jambo nikamlinganisha na mahusiano yake na wanawake???These are what we call cheap arguments za great thinkers,hao mnaosema ni chakula yao ndo waliomtuma na ndo mlipaswa muwajadili si yeye ambaye kabisa ukimsikiliza unaona katumwa. You can as well insult me,i care less...nimetoa maoni yangu.....ndo yale yale ya CCM eti HM eti msagaji,so what hata angekuwa,alishashindwa kutimiza wajibu wake akawa anasagana 24hrs au anatafuta watu wa kusagana nao 24hrs au anajadili usagaji ulivyo mzuri 24hrs?????
Hv kwanini PINDA asibatilishe uchaguzi wa arusha ili urudiwe na kuondoa mikwaruzo? naombeni japo e-mail yake
Chunguza mambo kwa umakini mama... ni KATIBU WA CCM MKOA... ila Chama Chenu Mpaka ndo kinalazimisha atumie fursa yake ya KUTEULIWA TANGA KAMA MBUNGE VITI MAALUM then aweze kutumia tiketi hiyo hiyo katika halmashauli ya jiji la Arusha.... au wewe ndo Chitanda mwenyewe????
SASA KAMA NI CHAKULA CHA WAKUBWA WASISEME AU NDO MAMBO YA KUTETEA JENDA! HATA KWENYE UPUMBAVU, AMWOGOPE MUNGU NA KUWAHESHIMU MITUME WAKE, TATIZO HANA WOGA KWA MUUMBA WAKE.nIts Okay Elli,yani kwa si tunaomjua huyu mama,uwezo wake tu wa kufikiri mi mdogo na waliomtuma wanajua hivyo ndo maana na yeye akakurupuka na kusema hivyo.Issue si yeye kuwa chakula cha wanaume,inauma kweli,nakumbuka hata makazini,vyuoni mtu ukipewa tu nafasi mwanamke,jambo la kwanza ni chakula ya mkubwa........sikatai wapo wanawake kama hao but hiyo haipunguzi ufanisi wa mtu wala ku-limit uwezo wake wa kufikiri sema tu akili yake ndogo ndo watu wanamtoa kafara za kijinga kwa kumtuma akaseme alivyosema.:smash:
Wewe nae nakuona ni hao hao... kinachifikisha suala hili lijadiliwe na wanajamvi kwa mtazamo huo ni
1. EXTRA CONFIDENECE aliyonayo kulingana na hali iliyopo, kwa kuwa hakuwahi kuwa na fursa ya kujibu mjadalka mzito kama uliopo.
2.Mfumo wa ki CCM unaoweza kumfanya HATA mtu sitye na uwezo KUJIBU hata jambo LILILO NJE YA UWEZO WAKE.
3. Hali halisi ya YEYE KUWAKUILISHA KAMA DIWANI kwa kupitia ubunge wa kuteuliwa mkoa wa mwanza.(lifikilie ili kwa undani zaidi)
Ha ha ha ha ha ha kama mama yako alivyokuwa chakula ya mtu fulani ndivyo nilivyo mimi,kuna shida gani kuwa chakula ya mtu??mimi ni mwanamke na niliumbwa kuwa na uhusiano na mwanaume,mbona Rose Kamili ni chakula ya Dr Slaa..........tofauti na anavyoweza kuwa mama yako na dada zako,mimi ninae wangu mwenyewe anayenipenda na kunijali na kuniheshimu na hanitumi kwenye mambo ya kipuuzi kwa kuwa anajali heshima yangu mbele ya jamii si kama huyo uliyenilinganisha nae.na hana kiherehere kama chako cha urithi.Bug off,uzabinazabina wapelekee ******* wenzio.
Hivi jamani mnashindwa kupakana matope wenyewe mpaka muwaingize na wazazi.Issue hapa ni Mary Chatanda ambaye kaonekana wazi hatumii ubongo wake kufikiri na kwa hili hawezi kuwa na ufanisi wa kufanya jambo lolote kama alikuwa chakula ya mtu.
Dada nimekuwa nafuatilia hii hoja ingawa umejitahidi kututoa nje ya mada, nilikuona ni mtu mwenye hofu ya mungu,
Rejea uchangiaji wako huu, ina maana hutakuwa na cha kujibu kwa umalaya ila unalo la kujibu kwa kudanganya watu .........Inawezekana dada yako au hata mama yako alishajaribu ndo maana wataka na mimi nikajaribu,hapana! tumetofautiana sana,mi Mwenyenzi Mungu kanipa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi,zaidi kanipa elimu na kazi nzuri sina sababu ya kujaribu kuwa malaya manake hata kwake sitakuwa na la kujibu safari yangu duniani ikiisha.
Ushari wangu tumwogope mungu tunapotoa hoja za matusi kama hizi.
Mungu wangu weeee humu ndani mbona matusi hivi jamani!Wewe nae nakuona ni hao hao... kinachifikisha suala hili lijadiliwe na wanajamvi kwa mtazamo huo ni
1. EXTRA CONFIDENECE aliyonayo kulingana na hali iliyopo, kwa kuwa hakuwahi kuwa na fursa ya kujibu mjadalka mzito kama uliopo.
2.Mfumo wa ki CCM unaoweza kumfanya HATA mtu sitye na uwezo KUJIBU hata jambo LILILO NJE YA UWEZO WAKE.
3. Hali halisi ya YEYE KUWAKUILISHA KAMA DIWANI kwa kupitia ubunge wa kuteuliwa mkoa wa mwanza.(lifikilie ili kwa undani zaidi)
Ha ha ha ha ha ha kama mama yako alivyokuwa chakula ya mtu fulani ndivyo nilivyo mimi,kuna shida gani kuwa chakula ya mtu??mimi ni mwanamke na niliumbwa kuwa na uhusiano na mwanaume,mbona Rose Kamili ni chakula ya Dr Slaa..........tofauti na anavyoweza kuwa mama yako na dada zako,mimi ninae wangu mwenyewe anayenipenda na kunijali na kuniheshimu na hanitumi kwenye mambo ya kipuuzi kwa kuwa anajali heshima yangu mbele ya jamii si kama huyo uliyenilinganisha nae.na hana kiherehere kama chako cha urithi.Bug off,uzabinazabina wapelekee ******* wenzio.
yaani alianza vizuri nadhani utukufu wa Mungu umempungukia sana, mapaka kafika negative! I HATE WOOTE WANAOTUKANA WAKINAMAMA!Hivi jamani mnashindwa kupakana matope wenyewe mpaka muwaingize na wazazi.Issue hapa ni Mary Chatanda ambaye kaonekana wazi hatumii ubongo wake kufikiri na kwa hili hawezi kuwa na ufanisi wa kufanya jambo lolote kama alikuwa chakula ya mtu.
Dada nimekuwa nafuatilia hii hoja ingawa umejitahidi kututoa nje ya mada, nilikuona ni mtu mwenye hofu ya mungu,
Rejea uchangiaji wako huu, ina maana hutakuwa na cha kujibu kwa umalaya ila unalo la kujibu kwa kudanganya watu .........Inawezekana dada yako au hata mama yako alishajaribu ndo maana wataka na mimi nikajaribu,hapana! tumetofautiana sana,mi Mwenyenzi Mungu kanipa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi,zaidi kanipa elimu na kazi nzuri sina sababu ya kujaribu kuwa malaya manake hata kwake sitakuwa na la kujibu safari yangu duniani ikiisha.
Ushari wangu tumwogope mungu tunapotoa hoja za matusi kama hizi.
Hakuna aliyemtuma Mary chatanda ni uropokaji wake tu ndio umemponza. Kama kuna mtu kamtuma basi atakua MAKAMBA au TAMBWE HIZA maana akili zao zinafanana. Najua JK anapingana na kauli hiyo ndio maana kamtuma WASSIRA akajikoshe kwa maaskofu MWANZA wakati wa kumsimika Askofu Mkuu mpya wa mwanza. Kwa wale waliokuwepo pale kawekamo- mwanza au waliofuatilia kupitia television wamesikia kauli ya WASSIRA akiwaambia maaskofu waikemee serikali inapoenda kinyume na kuhatarisha umoja wa watanzania na amani ya taifa. Sio kwamba Wassira alitamka maneno hayo bila kujua nini Mary chattanda alisema jana. Kauli hiyo imesemwa makusudi kuwaonesha maaskofu kwamba wanapingana na kauli ya chattanda. CCM wanapaswa kumwajibisha chattanda haraka iwezekanavyo.
Nimesikitika zaidi leo baada ya kusikia kauli ya chattanda kwenye habari ya channel ten sa moja jion. Chattanda anasema maaskofu kumtambua au kutomtambua meya haiwasumbui chochote (haiwaumizi kichwa) kwa kua maaskofu hawana madiwani kama vyama vya siasa. Najua mary chattanda kwa kauli alizozitoa zinaonesha upeo finyu wa uwezo wake wa kufikiri, anawaambia maaskofu waache kuingilia siasa akiamini kwamba kitendo cha wananchi watatu kuuawa bila hatia ni suala la kisiasa. Mary chattanda anashindwa kuelewa kwamba "man is a political animal" kwa sababu anaathiriwa na maamuzi ya kisiasa kaatika nyanja mbalimbali za maisha na kwamba siasa anayoizungumza inapenya katika nyanja hizo za maisha kama vile za kijamii, kiuchumi na kiutamaduni. Mary chattanda anatakiwa aelewe kua nyanja zote hizo nilizozitaja zinaathiriwa na maamuzi ya kisiasa kwa namna moja au nyingine. In other words political decisions influence social, economical, and cultural undertakings, as a matter of fact there is no way one can separate religion and politics.
Mary chattanda haoni tabu meya wa Arusha kunyimwa ushirikiano no maaskofu kwa sababu kwa mujibu wake maaskofu hawana madiwani kama vyama vya siasa. Anasahau kwamba mbali na kuhubiri injili maaskofu kupitia makanisa na taasisi zao mbalimbali wanatoa mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii kwa ujumla. Huduma kama za shule, hospitali, vituo vya kulelea watoto pamoja na miradi mbalimbali ya makanisa vimekua chachu ya maendeleo ya taifa hili kutokana na serikali pekee kushindwa ku meet demands za watanzania. Leo mary chattanda anasema maaskofu kutomtambua meya is not an issue anawaambia wavue majoho wakafanye siasa kama alivyofanya dr slaa, tena anaongea kwa tambo na nyodo. Huyu mama ana laana na sijui ni muumini wa dini ipi maana hana hofu ya Mungu hata kidogo, I guess she is a pagan. Kwa aliyoyasema ata akiomba msamaha hastahili kupata msamaha wowote. Bahati mbaya zaidi ametoa kauli hiyo kwa niaba la chama (CCM) na chama katika ngazi ya taifa hakijatoa kauli yoyote that means it stands as a party standing.