Sorry Michelle, hakika umenena jambo kubwa, samahani kwa niaba ya wengine watakaoona kama ulivyooliona hilo! labda ni gadhabu na si vinginevyo, kweli samahani but huyu mama ni sifuri! asante
Hv kwanini PINDA asibatilishe uchaguzi wa arusha ili urudiwe na kuondoa mikwaruzo? naombeni japo e-mail yake
Sorry Michelle, hakika umenena jambo kubwa, samahani kwa niaba ya wengine watakaoona kama ulivyooliona hilo! labda ni gadhabu na si vinginevyo, kweli samahani but huyu mama ni sifuri! asante
kama unakili kwamba uwezo wake ni mdogo unadhani nini kimemfikisha hapo alipo? mbona hatujakusema wewe? kila mmoja anapewa haki yake regardless kwamba ni mama au baba. Ndio sababu anasenwa na makamba pia kwani yeye ni demu pia?!Its Okay Elli,yani kwa si tunaomjua huyu mama,uwezo wake tu wa kufikiri mi mdogo na waliomtuma wanajua hivyo ndo maana na yeye akakurupuka na kusema hivyo.Issue si yeye kuwa chakula cha wanaume,inauma kweli,nakumbuka hata makazini,vyuoni mtu ukipewa tu nafasi mwanamke,jambo la kwanza ni chakula ya mkubwa........sikatai wapo wanawake kama hao but hiyo haipunguzi ufanisi wa mtu wala ku-limit uwezo wake wa kufikiri sema tu akili yake ndogo ndo watu wanamtoa kafara za kijinga kwa kumtuma akaseme alivyosema.:smash:
Huyu mama hana hofu ya mungu,hana uzalendo,hana staha kw watanzania na viongozi wetu wa dini,anasema wavue majoho yao,anataka wavue ili aone nini?
Anatoa wapi kiburi hiki,anapaswa kutengwa ktk kila jambo ili liwe somo kwake.naomba wenye taarifa zaidim za huyu mama watushirikishe
Its Okay Elli,yani kwa si tunaomjua huyu mama,uwezo wake tu wa kufikiri mi mdogo na waliomtuma wanajua hivyo ndo maana na yeye akakurupuka na kusema hivyo.Issue si yeye kuwa chakula cha wanaume,inauma kweli,nakumbuka hata makazini,vyuoni mtu ukipewa tu nafasi mwanamke,jambo la kwanza ni chakula ya mkubwa........sikatai wapo wanawake kama hao but hiyo haipunguzi ufanisi wa mtu wala ku-limit uwezo wake wa kufikiri sema tu akili yake ndogo ndo watu wanamtoa kafara za kijinga kwa kumtuma akaseme alivyosema.:smash:

michelle samahani ..naomba uvumilie na kuendelea kutoa elimu kwani waafrika bado tunalo tatizo la mfumo dume....imekuwa kosa la kustahili kufa kwa mwanamke kiongozi au executive kutumia uhuru wake wa kimapenzi Lakini jamii hii hii imekuwa ikimvumilia mwanamume kahaba [ambao ni wengi]...waafrika ndio tulivyo.....assume JK angekuwa mwanamke ....na kutumia uhuru wake kulala na mwanamume amtakaye kwa siku husika ...ni wazi mwanamke wa namna hiyo huonekana asiyefaa na laana.....kwa kuelewa hayo ndio maana nashauri kuwa wanawake wenye nafasi mbali mbali kuwa na staha kwenye mahusiano yao ..iwapo wanataka kufika mbali.......sisi waafirika hatujaweza kumpa mwanamke nafasi sawa na mwanamume kwenye mahusioano....
muulize mtu yeyote swali dogo ...>>>kipi bora ? kati ya kuwa na binti malaya [hata kama si kwa pesa ..just funny]..au kuwa na kijana kahaba ..wengi huona afadhali kijana wake awe play boy kuliko binti...!! ndio tulivyo ...mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu....
Pia chukuliwa kwa walioolewa na wanaume play boy....wakitaka kulipiza na wao kuwa play girls ...inakula kwao jamii inawatenga......NI VEMA WANAWAKE WAKAELEWA NAFASI YAO KWENYE JAMII YA KIAFRIKA!!!