Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
Atakuwa Ni Boyfriend Wake Huyo Hivi Vitoto Vya Siku Hizi Balaa Miaka Sita Tu Tayali Kanajua Mtoto Anapatikanaje Wakati Sisi Tulidanganywa Mtoto Wanatoa Mtoni.
Na Hii Ndio Digital Generation.
Kwanini ufikirie huko haraka namna hiyo?
kwanini hupanua fikra zako kwa vitu vingine Kama mwalimu wake...rafiki Wa kawaida....classmate... actor..(maana watoto huvutiwa Sana na washiriki Wa filamu mfano Daniel ktk tamthiliya ya kifilipino ya hivi karibuni)
ili upate jibu sahihi jaribu kuiondoa nafsi yako ktk zizi moja LA fikra.....