Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,681
Miaka saba yuko darasa la 3....!???
Swali gani mazee
Miaka saba yuko darasa la 3....!???
Miaka saba yuko darasa la 3....!???
Naelewa hivyo kaka, but my concern ni kuhusu binti yangu wa miaka 7 kusema analipenda sana hilo jina.
.Mkuu aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.Huyo malaika kataja tu kama mapenzi yake yalivyo mtuma,kuwaza zaidi ya hapo nikumkosea haki.Mtake radhiNtakuja kesho kufafanua vizuri, sasa hivi nawahi nimeuacha mchepuko wangu uko pepe yake bar, watautongoza. Ni somo refu sana kaka, but inawezekana
Kweli kuna utata hapo.......chunguza.......
nifafanulie hapo nifanyaje kujua jinsia ya mtoto aliye tumboni
Kozi ni ndefu sana. Kwa sasa Nimemaliza kujifunza kuhusu " UCHAWI NA WANYAMA ". Hapa nimjifunza uhusiano uliopo kati ya uchawi na wanyama mbalimbali. Nimejifunza kwa nini wachawi hutumia wanyama, ndege na wadudu mbalimbali katika mambo yao ya kichawi. Nimejifunza matumizi ya kichawi kuhusu wanyama kama bundi, paka, nyegere, fundichuma, mkatasanda(ndege wa kichawi ), kivunja chungu, mbwa, mbuzi, kuku, mjusi nakadhalika.
Kwa sasa naendelea na somo refu na gumu kuhusu TUNGULI NA MATUMIZI YAKE. Kuna zaidi ya aina ELFU NANE za Tunguli. Kwa sasa nimeshajifunza tunguli kama elfu tatu, nimejifunza zinavyotengenezwa, pamoja na kazi yake. Safari bado ni ndefu sana