Who is CCM's Architect?

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,931
Reaction score
2,141
Habari.

Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa CCM?

Maana kadri siku zinavyokwenda CCM inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, CCM was deteriorating every day.

Who is behind CCM success nowadays?
 
Mangula nafikiri coz ni ex~tiss na bado anazile elements za uzalendo kama nyerere na siyo rahisi kumnunua...

He was dumped more than once, Kikwete plus wanairinga.
 
Sijakuelewa, fafanua....

Wakati Kikwete anaingia madarakani, Mangula alitolewa katika nafasi ya ukatibu mkuu, na alipojaribu kugombea uenyekiti wa ccm mkoa Iringa, alipigwa chini, akarudi kwao kulima viazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…