Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,680
- 14,095
Nauliza hao kina Kader ni wajukua wa Ismail au Ishaq.You are seriously a big joke. So muhammed is the Lord?
This is the prophesy of jesus christ the Lord.
Bro,sikufaham , ila wewe ni ndugu yangu wa damu maana ni mtanzania mwenzangu.
Lakini nisem,nimesikia hasira sana na hata macho yamenitoka yenye machozi kwa mbali kwa hasira.
Nakuomba wewe na waislam wenzako huko mlipo, mkae chini na muombe mwongozo kama mimi nilivyofanya kwa koran. Ninayo kuran ndani kwangu.
Nakushauri kama hamuwezi kutafsiri biblia na mnachukua maneno ya unabii kama ilivyo ,then ni kwamba hata kuran yenu hamwiijui.
Nakushauri, tafuta walimu. Soma, urudie kusoma na usome tena. Mwombe Mwenyezi Mungu akufungulie tafsiri. Usiogope, mwombe Mungu wako. Naamini yule Mungu wa ukweli atasikia na kujibu.
Nimeona niokoteze online baathi ya maandiko na labda itakusaidia masna siwezi kukuelezea sasa. View attachment 176722View attachment 176723View attachment 176724View attachment 176725
The King.
Isaiah 60:7New International Version (NIV) [SUP]7 [/SUP]All Kedar's flocks will be gathered to you,
the rams of Nebaioth will serve you;
they will be accepted as offerings on my altar,
and I will adorn my glorious temple.