Who created ISIS?

Who created ISIS?

Status
Not open for further replies.
Wamarekani watajuta sana kuingia iraq 2003 na kuondoka. Na watajuta sana kuingilia hii vita ya kidini huko iraq. Just let them perish and bury themselves over a religion. Let the father bury the son and vice versa. Let the travails mask every door of an arab,and hell be upon them, and let this peril thrive forever.

The only problem i see on the surface of this earth and world peace vulnerability is Iran. My thought? Collapse Russia and seize it then create conflicts within Iran and disintegrate the leadership.


The King.
what the hell are you smoking?.
 
Ebu jiulize , ISIL/ISIS, wanafanya harakati zao Iraq na Syria kwa wakati mmoja. Syria wanataka kumungoa Assad...huko wanaungwa mkono na US na EU, huku Iraq wantaka kuingoa serikali ya Iraq (US na EU) wanakuja juu. Kwa nini US na EU wanakuwa na msimamo unaoyumba juu ya ISIS?

Alichokileta mwanzisha mada chaweza kuwa na mashiko....!!

Inabid uwe na free mind ili kuweza kujua ukweli kamili kuhusu isis,mtoa mada yeye amechokoza mada tu,katika kusoma na kupitiapitia kwangu nimegundua fika kwamba isis wanadhaminiwa financial na u.s na saudiarabia,saudi arabia anasuport isis ili aiondoe serikali ya shia iliyopo iraq na kuweka utawala wa kisuni kama uliopo saudiarabia na viongoz wa saudi arabia wanafanya hv ili kupata security ya marekani coz ndo ananunua advance weapons za kisasa,na kwa anaetaka kulijua hl kuna uzi nilianzisha hapa 'ya saudi arabia,na unafiki wa marekani' natumia simu hapa siwezi kuweka link ila kwa mwenye kutaka kuelewa autafute asome na aunganishe dot ataelewa vya kuelewa,otherwise western media its ful of propaganda they only broadcast what they want people to see and hear
 
Inabid uwe na free mind ili kuweza kujua ukweli kamili kuhusu isis,mtoa mada yeye amechokoza mada tu,katika kusoma na kupitiapitia kwangu nimegundua fika kwamba isis wanadhaminiwa financial na u.s na saudiarabia,saudi arabia anasuport isis ili aiondoe serikali ya shia iliyopo iraq na kuweka utawala wa kisuni kama uliopo saudiarabia na viongoz wa saudi arabia wanafanya hv ili kupata security ya marekani coz ndo ananunua advance weapons za kisasa,na kwa anaetaka kulijua hl kuna uzi nilianzisha hapa 'ya saudi arabia,na unafiki wa marekani' natumia simu hapa siwezi kuweka link ila kwa mwenye kutaka kuelewa autafute asome na aunganishe dot ataelewa vya kuelewa,otherwise western media its ful of propaganda they only broadcast what they want people to see and hear

Hata mi huwa nashangaa wanafanya kazi za shetani eti kwa ajili ya mungu...nimefuatlia source tofauti tofauti nimegundua kuwa vyanzo vingi vya mapato ya hao wanaojiita wajahidin si vya hakalu na ambavyo mungu amevijataza hasa uporaji nashangaa je Mungu ameruhusu hili watu wafanya uovu kwa ajili yaje au ni mwamvuli tu kwa maslahi ya kisiasa

mkuu hiyo ndio siasa...hasa ya middle East...for sure wale jamaa na Al Qaeda na hata Taliban wenyewe ni watu walio na mitizamo wa kupigania dini ila who funds them?

ngoja tutazame......FACTS zifuatazo ambazo ndio history yenyewe

1...Taliban na Osama bin Laden wakati huo akiwa ametoka kwenye ukachero wa USA walipewa fedha na mafunzo na silaha wasikubali uvamizi wa wasoviet kule Afghanistani miaka ya 1980...hili limewahi kusemwa na Hillary Clinton akihojiwa na television ya FOX kwa maana kuwa USA hawakutaka kamwe RUSSIA wakati huo USSR na ukomusti wao waikamate mashariki ya kati na asia kwa kuwa walivamia Afghan wakawapa sapport Russia wakatoka...hiki kikundi peke yake kisingeweza vita ya kuito Russia....

2...Wakati wa Arab spring iliyofikia hatamu yake kwa vita vya Syria kwa miaka miwili...ni kuwa USA na ISRAEL wana tegemea sana EGYPT kama strong Arabic country kama mshirika wao...kuipoteza misri kuingia kwenye mikono ya Brotherhood ni kuipoteza Middle East na threat kwa Taifa la Israel...thats why wakati wa demonstrations BENJAMIN

NETANYAHU alinukuliwa akisema

"we are observing carefully political changes in Egypt as we are fearing a country to be governed by Extremist more than Iranian Government"

Ndio maana USA hawakuwa wakisema wazi Hosni kuondoka madarakani ispokuwa walikuwa wakisisitiza "Mubarak has to make Reforms"

ufahamu kuwa EGYPT ndio nchi ngangari ya kiarabu kuliko zote kwa kuwa wako na jeshi kubwa sana na la kisasa kupitia funds za USA wakati wa utawala wa Anwar al Sadaat na Hosni mubarak kwa miaka 40 mpaka sasa...therefore Morsi japo alishinda uchaguzi alikuwa na CONNECTION na HAMAS kwani ikumbukwe kuwa yeye aliwaita FATAH (ya mahmoud Abbas na Hamas (mousa ibn Abu marzouk na Khalid Mashal) mjini Cairo na kuwaunganisha waache tofauti zao ndio maana kuna Unity goverment mpaka sasa upande wa palestina....na akafungua mpaka pekee wa GAZA huko Rafah amabo kwa mujibu wa mkataba baina ya Hosni na Israel unafungwa kwa kuepusha kuvusha silaha kwenda Kwa resistance groups kule Gaza .

hii ndio iliyomuondoa MORSI madarakani...then huyu aliyeshika madaraka Brigedia AL SISI ni Puppet leader wa USA na israel..anachoweza kuwasaidia Gaza ni peace Talks


3...Syria...mnaweza kuidharau ila kwa hakika nchi iliyo na kinyongo na State of Israel basi mojawapo ni Syria..kwa kuwa vita vya mwaka 1973 walipoteza milima ya Golan kusini mwa nchi yao eneo hilo analo Israel mpaka leo...kwa kuwa muda wote toka baba yake Bashar Assad (Hafidh Al Assad) amabye alikufa mwaka 2000 alikuwa anti Zionism and America na akakuza uhusiano wake na IRAN..chance ya kumtoa ilikuwa ni mwaka 2011 pale wananchi walipotaka atoke madarakani...hapo ndipo ISIS ilipozaliwa

ISIS ni akina nani? (ni muunganiko wa vikundi vingi kama 30 vya wanamgambo wa kiislamu) waliopewa mafunzo na USA na NATO ili wamtoe BASHAR kule Syria kwa kuwa RUSSIA alikuwa na interest zake kule na Iran wakashirikiana kumpatia silaha akawashinda waasi...ndio mpaka leo waasi wa ISIS wana mafunzo na pesa zote walipata kwa USA na baadhi ya mataifa ya kiarabu yanayoifanyia kazi America....

ISIS iraq kunani? tawala ya Nuru Al maliki baada ya kusimikwa na USA amejikuta anapata sapport kubwa ya kifedha kwa IRAN (kwa kuwa ni mashia wenzake) so uhusuano wa serikali ya Iraq na America si mzuri sana kama na IRAN ndio maana kundi hili limehamia Iraq kuendesha harakati zake....

Na ambae hataelewa kwa maelezo yote basi hatokaa akaelewa kamwe
 
Hizi ni itikadi na propaganda za kishenzi sana. Haya maabudu shetani, yanaanzisha makundi ya kigaidi kwamba miungu yake inayatuma kuua watu kwa kisingizio cha dini, halafu yanasema yaliundwa na Westerners. Huu ni upumbavu na uwongo unaozidi hata wa baba yao shetani!. Unachukua kisu, unamchinja ndugu yako, unateka wanawake, unabaka, unavalisha mabomu na ku manipulate watu wajilipue ili wakakutane na mabikira 60 kila siku, unahubiri chuki na kumwaga damu za watu ovyo kwamba dini yako inataka hivyo, halafu leo usema Wazungu wamekutengeneza. dini yako inaabudu na kutii wazungu au kitu gani?

Nachelea kesho yatasema uislam ulianzishwa na wazungu na mungu wao aliumbwa marekani. Upuuzi na wehu kabambe!.

Kwa hyo upeo wako wa kufikiria ndo umeishia hapa?
 
ISIS: Made in USA
The Islamic State in Iraq and Syria
(ISIS) is a creation of the United
States and its Persian Gulf allies,
namely Saudi Arabia, Qatar, and
recently added to the list, Kuwait.
The Daily Beast in an article titled,
“America’s Allies Are Funding
ISIS,” states:
The Islamic State of Iraq and
Syria (ISIS), now threatening
Baghdad, was funded for years
by wealthy donors in Kuwait,
Qatar, and Saudi Arabia, three
U.S. allies that have dual agendas
in the war on terror.
Despite the candor of the
opening sentence, the article
would unravel into a myriad of
lies laid to obfuscate America’s
role in the creation of ISIS. The
article would claim:
The extremist group that is
threatening the existence of the
Iraqi state was built and grown
for years with the help of elite
donors from American supposed
allies in the Persian Gulf region.
There, the threat of Iran, Assad,
and the Sunni-Shiite sectarian
war trumps the U.S. goal of
stability and moderation in the
region.
However, the US goal in the
region was never “stability” and
surely not “moderation.” As early
as 2007, sources within the
Pentagon and across the US
intelligence community revealed
a conspiracy to drown the Middle
East in sectarian war, and to do
so by arming and funding
extremist groups including the
Muslim Brotherhood and Al
Qaeda itself. Published in 2007 –
a full 4 years before the 2011
“Arab Spring” would begin –
Pulitzer Prize-winning journalist
Seymour Hersh’s New Yorker
article titled, “”The Redirection: Is
the Administration’s new policy
benefiting our enemies in the
war on terrorism?” stated
specifically (emphasis added):
To undermine Iran, which is
predominantly Shiite, the Bush
Administration has decided, in
effect, to reconfigure its
priorities in the Middle East. In
Lebanon, the Administration has
coöperated with Saudi Arabia’s
government, which is Sunni, in
clandestine operations that are
intended to weaken Hezbollah,
the Shiite organization that is
backed by Iran. The U.S. has also
taken part in clandestine
operations aimed at Iran and
its ally Syria. A by-product of
these activities has been the
bolstering of Sunni extremist
groups that espouse a militant
vision of Islam and are hostile
to America and sympathetic to
Al Qaeda.
The 9 page, extensive report has
since been vindicated many
times over with revelations of US,
NATO, and Persian Gulf complicity
in raising armies of extremists
within Libya and along Syria’s
borders. ISIS itself, which is
claimed to occupy a region
stretching from northeastern
Syria and across northern and
western Iraq, has operated all
along Turkey’s border with Syria,
“coincidentally” where the US CIA
has conducted years of
“monitoring” and arming of
“moderate” groups.
In fact, the US admits it has
armed, funded, and equipped
“moderates” to the tune of
hundreds of millions of dollars. In
a March 2013 Telegraph article
titled, “US and Europe in ‘major
airlift of arms to Syrian rebels
through Zagreb’,” it was
reported that a single program
included 3,000 tons of weapons
sent in 75 planeloads paid for by
Saudi Arabia at the bidding of
the United States. The New York
Times in its article, “Arms Airlift
to Syria Rebels Expands, With
C.I.A. Aid,” admits that the CIA
assisted Arab governments and
Turkey with military aid to
terrorists fighting in Syria
constituting hundreds of airlifts
landing in both Jordan and
Turkey.
The vast scale of US, NATO, and
Arab aid to terrorists fighting in
Syria leaves no doubt that the
conspiracy described by Hersh in
2007 was carried out in earnest,
and that the reason Al Qaeda
groups such as Al Nusra and ISIS
displaced so-called “moderates,”
was because such “moderates”
never existed in any significant
manner to begin with. While
articles like the Daily Beast’s
“America’s Allies Are Funding
ISIS” now try to portray a divide
between US and Persian Gulf
foreign policy, from Hersh’s 2007
article and all throughout the
past 3 years in Libya and Syria,
the goal of raising an army in the
name of Al Qaeda has been
clearly shared and demonstrably
pursued by both the US and its
regional partners.
The plan, from the beginning,
was to raise an extremist
expeditionary force to trigger a
regional sectarian bloodbath – a
bloodbath now raging across
multiple borders and set to
expand further if decisive action
is not taken.
Iran Must Avoid America’s
“Touch of Death” and Sectarian
War at All Costs
Despite an open conspiracy to
drown the region in sectarian
strife, the US now poses as a
stakeholder in Iraq’s stability.
Having armed, funded, and
assisted ISIS into existence and
into northern Iraq itself, the idea
of America “intervening” to stop
ISIS is comparable to an arsonist
extinguishing his fire with more
gasoline. Reviled across the
region, any government – be it in
Baghdad, Tehran, or Damascus –
that allies itself with the US will
be immediately tainted in the
minds of forces forming along
both sides of this artificially
created but growing sectarian
divide. Iran’s mere consideration
of joint-operations with the US
can strategically hobble any
meaningful attempts on the
ground to stop ISIS from
establishing itself in Iraq and
using Iraqi territory to launch
attacks against both Tehran and
Damascus.
Any Iranian assistance to Iraq
should be given only under the
condition that the US not
intervene in any manner. Iran’s
main concern should be
portraying the true foreign-
funded nature of ISIS, while
uniting genuine Sunni and Shia’a
groups together to purge what
is a foreign invasion of Iraqi
territory. Iran must also begin
allaying fears among Iraq’s Sunni
population that Tehran may try
to use the current crisis to gain
further influence over Baghdad.
While the US downplays the
sectarian aspects of ISIS’ invasion
of Iraq before global audiences,
its propaganda machine across
the Middle East, assisted by Doha
and Riyadh, is stoking sectarian
tensions. The ISIS has committed
itself to a campaign of over-the-
top sectarian vitriol and atrocities
solely designed to trigger a
wider Sunni-Shia’a conflict. That
the US created ISIS and it is now
in Iraq attempting to stoke a
greater bloodbath with its
already abhorrent invasion, is
precisely why Tehran and
Baghdad should take a cue from
Damascus, and disassociate itself
from the West, dealing with ISIS
themselves.
Tony Cartalucci, Bangkok-based
geopolitical researcher and
writer, especially for the online
magazine “New Eastern
Outlook

Im sure wengi wanapita bila ya kusoma hii article kwa kuzoea sumary na kutafuniwa ila ukweli wote uko hapa kuhusiana na orignal ya isis kwa mwenyetaka kuelewa
 
Hv kwenye uislam mtu anajifunza nn zaidi ya laana zote za dunia? Chuki kuvaa mabomu kuoa wake wengi kuabudu majini. Yaani uislam ni uchafu. Without Islam the world could b a peaceful place to leave.

Again im wondering nyie watu huwa mnatumia nini kufikiri?
 
Wamarekani watajuta sana kuingia iraq 2003 na kuondoka. Na watajuta sana kuingilia hii vita ya kidini huko iraq. Just let them perish and bury themselves over a religion. Let the father bury the son and vice versa. Let the travails mask every door of an arab,and hell be upon them, and let this peril thrive forever.

The only problem i see on the surface of this earth and world peace vulnerability is Iran. My thought? Collapse Russia and seize it then create conflicts within Iran and disintegrate the leadership.


The King.
The only problem i c in the world is to have people with the mind like yours,akili mmepewa mnashndwa kuzitumia,wenzenu wanafaidika na maslah binafs nyie mmekaa kujazwa ujinga na nyie mnakubali tu!
muisrael kamfanya muarabu vibaya hadi kampa 'paranoia'....itafikia stage mtu (muarabu) akijikwaa wakati anatembea atasema muisraeli aliweka kisiki njiani..

Hv unajua kwamba zaidi ya 60% wanaisrael hawamuamini yesu,au unashadadi tu mambo bila ya kujua undani wake,na kwa taarifa yako uislam utakuwepo mpk mwisho wa dunia,no one can stop its spreading hvyo wanavyofanya israel ni vitimbi tu hata kipnd cha mtume vilikuwepo.by the way next time usitumie kiroba tena kabla ya kupost
 
Jombaaa.. Kuna kitu kinaitwa False flag terrorism- unakumbuka 9/11 mwaka 2001 majengo ya world trade center yalivyo anguish wa!!? Ile ilikua kazi ya bush na CIA - na wala si Al kaida wala Osama - hiyo inaitwa false flag terrorism.. Nia yao ilikua kwenda kutafuta mafuta na kuichafua dini ya kiislam.. Hii ni kazi ya secret societies na mpango wao wa new world order... Soo marekani is one who create Isis nia yao ni kufanya public urest ili waweze kuweka Marshall law
 
Jombaaa.. Kuna kitu kinaitwa False flag terrorism- unakumbuka 9/11 mwaka 2001 majengo ya world trade center yalivyo anguish wa!!? Ile ilikua kazi ya bush na CIA - na wala si Al kaida wala Osama - hiyo inaitwa false flag terrorism.. Nia yao ilikua kwenda kutafuta mafuta na kuichafua dini ya kiislam.. Hii ni kazi ya secret societies na mpango wao wa new world order... Soo marekani is one who create Isis nia yao ni kufanya public urest ili waweze kuweka Marshall law

ulishawahi kuisoma koran na hadithi za mtume? kama bado tafuta zipo za kiswahili na kingereza ndio utajua uislamu unachafuliwa au uislamu ni uchafu kwa asili.
 
There is no other way ya kuwaelewesha baadhi ya watu bali ukweli hata kama atabishana nao ndio keshausikia...kinachobakia ni ubishi wa asili tu (tunauita ubishi wa kitoto) ila anaebishana na ukweli wa hali halisi ya mashariki ya kati ni aidha HAJUI KINACHOENDELEA kwa mapana yake na kihistoria au anaendeshwa na chuki zisizo na maana dhidi ya waarabu akijidanganya kuwa waarabu wote ni waislamu (huku kuna nduguze kule wakristo nao wanapata misoto).....

pamoja mkuu...hii ndio siasa ya dunia tuliyopo....

Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Kwa nionavyo mimi Marekani na washirika wake ndio khasa tatizo. Kwa mfano wakati wa Saddam Hussein, hali ilikua shwari kabisa, lakini Marekani kwa faida zake akahakikisha Saddam anaondoka na tuliona kilichomtokea. Hivyo basi lawama Marekani na Mwingireza hawawezi kukwepa kwa hili la Iraq, chanzo ni wao. Hivi karibuni kuna mjadala ulionyeshwa katika luninga ya ITV ya Uingereza, lawama nyingi alitupiwa Bush na Blair kuwa ndio chanzo cha machafuko yanayoendelea sehemu mbalimbali, alionyeshwa Blair akijibu kuwa yeye hahusiki na haya ni mapya na hayahusiani na Saddam.

Kwa wote wenye ushabiki tu bila kuelewa, basi watapinga
 
Hv unajua kwamba zaidi ya 60% wanaisrael hawamuamini yesu,au unashadadi tu mambo bila ya kujua undani wake,na kwa taarifa yako uislam utakuwepo mpk mwisho wa dunia,no one can stop its spreading hvyo wanavyofanya israel ni vitimbi tu hata kipnd cha mtume vilikuwepo.by the way next time usitumie kiroba tena kabla ya kupost[/QUOTE]

povu la nini...nani kasema waisrael wote wakristo?...kama unataka kujua uhusiano kati ya uyahud na ukristo ni kwamba wote wanamuabudu Mungu mmoja anayeitwa Yehova...na wewe unajua kama kuna waisrael waislam tena wengine wanajeshi?
 
.........................and the fact is Islam was created by Vatican but went out of control before serving the purpose. Sijui kama watu wanajua mke wa Muhammad yule bibi mjane tajiri wa Mecca bi Hadija alikuwa mkatoliki sugu. Na aliyemtabiria Muhammad kuwa atakuwa mtume alikuwa Padri. Connect the dots.
Go to hell, the idea that Islam was in some way created by the Vatican is not true @ all, let me give you some details maybe u will wake up one day.

1st of all Islam has existed since the beginning of time and that it is the natural religion of mankind. Adam (peace be upon him), according to such a belief, was a Prophet of Islam and was the first Muslim.

Muslims believe that all the prophets of the Old Testament, such Abraham and Moses as well as Jesus in the New Testament (peace be upon them all) were all prophets of Islam.


Are all the prophets of history Muslim? From a Muslim standpoint: YES! Do Christians and Jews beleive this.... NO! Is this a big deal... YES! First I will examine the standpoints of Christianity and Judaism and then the standpoint of Islam.

Judaism: Were all the prophets Jewish? No, though most of their prophets considered themselves Jews, their first prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism officially exists, and one website about jewish prophets says, "A prophet is not necessarily a Jew" (jewfaq.org/prophet.htm) God sent prophet to gentiles as well... Is this a problem?? YES If Jews were the nation chosen by God and Judaism is the right religion under God why would God be sending messengers that weren't of his faith? Since Judaism is a religion with two dimensions (nationality and religion) one who is not part of the nation chosen by God is not a Jew, so why is God sending forth prophets from an unchosen nation? It doesn't make sense.

Christianity: Were all prophets Christian? NO, even Jesus(pbuh) himself wasn't a Christian (as Muslim we beleive he was Muslim), Christians beleive he was a Jew, even as a Christian I knew Jesus(pbuh) wasn't Christian. For anyone who's curious Jesus couldn't have been a Christian because a Christian is one who follows the teaching of Christ (Jesus pbuh) and beleives in his death and resurrection, so the only way Jesus could've been a Christian was after his death and resurrection, so if necessary I'll grant that Jesus was a Christian for a couple of days (once he was resurrected, according to Christian theology) And all the prophets before Jesus were not Christian. So Christians base their faith on prophets who weren't even of the same faith, they follow some rules from the old testament and others they ignore. It doesn't make much sense to have a religion where most prophets aren't even of that religion, does it??

Islam: are all prophets Muslim? YES!! This can be very hard for some to wrap their head around (even some Muslims). I mean didn't Islam only come into being in the 7th century? The answer is Yes and no, Muhammad (saw) brought the final revelation not the first, and certainly not the only. Though many people are correct in saying that the terms Islam and Muslim are rather recent, but just because one didn't use the same terms to identify something doesn't mean that it wasn't the same thing. For example I live in Quebec (a province in Canada) originally Quebec was called New France, then Lower Canada, and now Quebec, but it is still the same mass of land, still the same place so when we talk about history of Quebec we don't stop when it was called Lower Canada or New France, we go all the way back (even before that) and we recognize that even though it was functioning under a different name it was still Quebec. So we will do the same with Islam even though it wasn't called Islam it was the same religion, because it was the worshipping of a single God who is ONE.
 
Propaganda at work, ISIL wamefukuza na kuua wakristu Mosul, ndivyo walivyoagizwa na western countries?. ISIL ni kundi la waislam wenye itkadi kali, muache kubebesha watu wengine mzigo wa Mohammed

ISIS haikuanzishwa na western countries,, Laa!!!!!!! ni kikundi kianza kwa lengo la kumuondoa ASAD kule SYria... ila western countries walifanya kosa kuwa support na kuwapatia vifaaa vya kisasa,,, angalia misafara yao utaona walivyo sheheni silaha za kisasa,,,, na nakumbuka Obama alishawahi sema kua wata support opotions kule Syria ili kuwasaidia wananchi wa Syria kupata freedom... hawa ndo SISI ,, sasa kosa walilofanya wamarekani hawakujua wanasuport nani hasa na ana agenda gani... ISIS bado wana operate syria ila wame extend mapaka Iraq ,,,, mdo bwama mkubwa anashtuka na kuamua kwenda tena Iraq sehem ambayo alishindwa vibaya,,, na matatizo yoote haya ni yake Mmarekani.. bora angemuacha SADAM hussein walau kulika na amani kuliko ilivyo sasa,, kwanza mjue wamarekani hawapendwi kabisa Iraq hata obama juzi kasema haya.. hasa Shia ya Murtada El sadri wing ,, hawataki kmuona M US pale
 
ISIS haikuanzishwa na western countries,, Laa!!!!!!! ni kikundi kianza kwa lengo la kumuondoa ASAD kule SYria... ila western countries walifanya kosa kuwa support na kuwapatia vifaaa vya kisasa,,, angalia misafara yao utaona walivyo sheheni silaha za kisasa,,,, na nakumbuka Obama alishawahi sema kua wata support opotions kule Syria ili kuwasaidia wananchi wa Syria kupata freedom... hawa ndo SISI ,, sasa kosa walilofanya wamarekani hawakujua wanasuport nani hasa na ana agenda gani... ISIS bado wana operate syria ila wame extend mapaka Iraq ,,,, mdo bwama mkubwa anashtuka na kuamua kwenda tena Iraq sehem ambayo alishindwa vibaya,,, na matatizo yoote haya ni yake Mmarekani.. bora angemuacha SADAM hussein walau kulika na amani kuliko ilivyo sasa,, kwanza mjue wamarekani hawapendwi kabisa Iraq hata obama juzi kasema haya.. hasa Shia ya Murtada El sadri wing ,, hawataki kmuona M US pale
Inajulikana wazi kabisa ISIL was created by MOSSAD and CIA to destroy the axis of resistance and Muslim world. The so-called "leader" of ISIL is Simon Elliot (Elliot Shimon) aka Al-Baghdadi was born of two Jewish parents and is a Mossad agent.The US sponsored ISIL and is now doing cosmetic attacks since ISIL is out of control and is now threatening US puppets in Saudi, Jordan and the petro-sheikdoms of the Arabian Gulf.
 
Wacha ujinga wewe hebu niambia ukristo nani aliye uleta zaidi ya shetani wenu Paulo.

84. Say (O Muhammad SAW): "We believe in Allâh and in what has been sent down to us, and what was sent down to Ibrâhim (Abraham), Ismâ'il (Ishmael), Ishâque (Isaac), Ya'qûb (Jacob) and Al-Asbât [the twelve sons of Ya'qûb (Jacob)] and what was given to Mûsa (Moses), 'Iesa (Jesus) and the Prophets from their Lord. We make no distinction between one another among them and to Him (Allâh) we have submitted (in Islâm)."
85. And whoever seeks a religion other than Islâm, it will never be accepted of him, and in the Hereafter he will be one of the losers[].






You need to read the bible. Sina lingine la kusema. Because you are ignorant and trapped with some dark belied that islam is legit. And muhammad (hell be upon him) is the messenger. Endelea na dini yenu ya kishetani as long as huwasumbui watu. I dnt need to here this islam trash.





The King.
 
Hv unajua kwamba zaidi ya 60% wanaisrael hawamuamini yesu,au unashadadi tu mambo bila ya kujua undani wake,na kwa taarifa yako uislam utakuwepo mpk mwisho wa dunia,no one can stop its spreading hvyo wanavyofanya israel ni vitimbi tu hata kipnd cha mtume vilikuwepo.by the way next time usitumie kiroba tena kabla ya kupost

povu la nini...nani kasema waisrael wote wakristo?...kama unataka kujua uhusiano kati ya uyahud na ukristo ni kwamba wote wanamuabudu Mungu mmoja anayeitwa Yehova...na wewe unajua kama kuna waisrael waislam tena wengine wanajeshi?[/QUOTE]

Wewe nani amekuambia jewish wana mwamini Yesu? Nani kasema hivyo?

Laknk Mwenyezi Mungu anasema, atawarudish wana waisrael kwenye nchi yao ya ahadi. Pamoja wamebarikiwa lakni bado Mungu atawaonyesha kwamba yey ni Mungy aliyekuwepo na atakayekuwepo. Tena biblia inasema israel itakuja kupigwa na nchii za kislam tena kwa nyuklia lakni hawatashinda vita maana mwana wa adamu atakuwa upande wao na ndipo waisrael watakiri kuwa Jesus is the lord and son of God the creator.


The King.
 
Maelezo yote hayo hayajakutosheleza unataka tu ligi???acha udini wewe angalia fact usikute babu zako walikuwa waislam fanya uchunguzi
Kila kitu ni USA, sasa naamini hata uislam umeanzishwa na USA
 
You need to read the bible. Sina lingine la kusema. Because you are ignorant and trapped with some dark belied that islam is legit. And muhammad (hell be upon him) is the messenger. Endelea na dini yenu ya kishetani as long as huwasumbui watu. I dnt need to here this islam trash.





The King.
Now to Isaiah 35:
Isaiah 35
Joy of the Redeemed
1 The desert and the parched land will be glad;
the wilderness will rejoice and blossom. Like the crocus,
2 it will burst into bloom; it will rejoice greatly and shout for joy. The glory of Lebanon will be given to it, the splendor of Carmel and Sharon; they will see the glory of the LORD, the splendor of our God.
3 Strengthen the feeble hands, steady the knees that give way;
4 say to those with fearful hearts, "Be strong, do not fear; your God will come, he will come with vengeance; with divine retribution he will come to save you."
5 Then will the eyes of the blind be opened and the ears of the deaf unstopped.
6 Then will the lame leap like a deer, and the mute tongue shout for joy. Water will gush forth in the wilderness and streams
in the desert.
7 The burning sand will become a pool, the thirsty ground bubbling springs. In the haunts where jackals once lay, grass and reeds and papyrus will grow.
8 And a highway will be there; it will be called the Way of Holiness; it will be for those who walk on that Way. The unclean will not journey on it; wicked fools will not go about on it.
9 No lion will be there, nor any ravenous beast; they will not be found there. But only the redeemed will walk there,
10 and those the LORD has rescued will return. They will enter Zion with singing; everlasting joy will crown their heads. Gladness and joy will overtake them, and sorrow and sighing will flee away.

Few points to notice here:

1- If Isaiah 35:1 is a metaphor and not a literal, then the prosperity and the bloom that the verse is talking about, for Arabia, could be a spiritual one, and not a worldly and materialistic one.
2- If this is the case, then this prosperity has got to be Islam! This is further seen in the "Way of Holiness" (Isaiah 35:8) that Arabia will have in it, that no unclean person is allowed to take. This would, without a doubt, then be referring to the Muslims' yearly pilgrimage to Mecca, today.
3- This interpretation of mine is further proven in the following verses from the Glorious Quran and the Bible:
"Behold! We gave the site, To Abraham, of the (Sacred) House [That is the Kaaba that he built], (Saying): 'Associate not anything (In worship) with Me; And sanctify My House For those who compass it round, Or stand up, Or bow, or prostrate themselves (Therein in prayer). And proclaim the Pilgrimage among men: they will come to thee on foot and (mounted) on every kind of camel, lean on account of journeys through deep and distant mountain highways; (The Noble Quran, 22:26-27)"
Isaiah 60
60:1 Arise, shine; for thy light is come, and the glory of the LORD is risen upon thee.
60:2 For, behold, the darkness shall cover the earth, and gross darkness the people: but the LORD shall arise upon thee, and his glory shall be seen upon thee.
60:3 And the Gentiles shall come to thy light, and kings to the brightness of thy rising.
60:4 Lift up thine eyes round about, and see: all they gather themselves together, they come to thee: thy sons shall come from far, and thy daughters shall be nursed at thy side.
60:5 Then thou shalt see, and flow together, and thine heart shall fear, and be enlarged; because the abundance of the sea shall be converted unto thee, the forces of the Gentiles shall come unto thee.
60:6 The multitude of camels shall cover thee, the dromedaries of Midian and Ephah; all they from Sheba shall come: they shall bring gold and incense; and they shall shew forth the praises of the LORD.
60:7 All the flocks of Kedar shall be gathered together unto thee, the rams of Nebaioth shall minister unto thee: they shall come up with acceptance on mine altar,
and I will glorify the house of my glory.
 
Here is some other prophecies about the coming of the holy prophet of God , Muhammad(SAW), and pilgrimage in Bible. Isaiah 60
60:1 Arise, shine; for thy light is come, and the glory of the LORD is risen upon thee.
60:2 For, behold, the darkness shall cover the earth, and gross darkness the people: but the LORD shall arise upon thee, and his glory shall be seen upon thee.
60:3 And the Gentiles shall come to thy light, and kings to the brightness of thy rising.
60:4 Lift up thine eyes round about, and see: all they gather themselves together, they come to thee: thy sons shall come from far, and thy daughters shall be nursed at thy side.
60:5 Then thou shalt see, and flow together, and thine heart shall fear, and be enlarged; because the abundance of the sea shall be converted unto thee, the forces of the Gentiles shall come unto thee.
60:6 The multitude of camels shall cover thee, the dromedaries of Midian and Ephah; all they from Sheba shall come: they shall bring gold and incense; and they shall shew forth the praises of the LORD.
60:7 All the flocks of Kedar shall be gathered together unto thee, the rams of Nebaioth shall minister unto thee: they shall come up with acceptance on mine altar,
and I will glorify the house of my glory.
In Isaiah 60:1-7, A prophecy about a Holy man (prophet) bringing the light of God to the world. This holy man would appear in a time of darkness filling the world and covering the earth, He would appear to eliminate the darkness and spread the light of God and his praises.
In Isaiah 60:3 we read "And the Gentiles shall come to thy light ", and that means this Holy Prophet would arise among the Gentiles and his Light would fill his place where the nations would come and visit.
In Isaiah 60:4, we find the people would come from far, the sons and daughters, all would come together for the Light.
In Isaiah 60:5-6 it keeps telling us about the coming of the people from all over the world to the Light.
In Isaiah 60:7, is the clear meaning, it's Kedar (Mekka) , Where its flocks and tribes would be gathered together under the light of God, "they would come up with acceptance on mine altar" (Note: Muslims during the Hajj "pilgrimage" they slaughter the sacrifices as one of the ceremonies and Muslims all over the world share that from their places which is called Eid Al Adha).

You are seriously a big joke. So muhammed is the Lord?
This is the prophesy of jesus christ the Lord.

Bro,sikufaham , ila wewe ni ndugu yangu wa damu maana ni mtanzania mwenzangu.
Lakini nisem,nimesikia hasira sana na hata macho yamenitoka yenye machozi kwa mbali kwa hasira.

Nakuomba wewe na waislam wenzako huko mlipo, mkae chini na muombe mwongozo kama mimi nilivyofanya kwa koran. Ninayo kuran ndani kwangu.
Nakushauri kama hamuwezi kutafsiri biblia na mnachukua maneno ya unabii kama ilivyo ,then ni kwamba hata kuran yenu hamwiijui.

Nakushauri, tafuta walimu. Soma, urudie kusoma na usome tena. Mwombe Mwenyezi Mungu akufungulie tafsiri. Usiogope, mwombe Mungu wako. Naamini yule Mungu wa ukweli atasikia na kujibu.

Nimeona niokoteze online baathi ya maandiko na labda itakusaidia masna siwezi kukuelezea sasa. ImageUploadedByJamiiForums1407742035.937709.jpg ImageUploadedByJamiiForums1407742047.255402.jpg ImageUploadedByJamiiForums1407742057.295664.jpg ImageUploadedByJamiiForums1407742065.438874.jpg




The King.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom