Mkuu, umetoa reference zako nyingi nchi za ulaya huku ukiwa umesahau kwamba sa ivi hao wazungu hawazaani na population yao inapungua na wakati huo huo waarabu ambao wako ulaya wanazaana sana kwa sababu ya utamaduni wao, population ya watu sa ivi iko Africa na asia, mbona hujatoa reference zako kwenye nchi zenye watu wengi kama china?
Ukristo sasa hivi unakua sana Nchi za Asia na Africa kwa kasi kubwa, kwa mfano Africa uislam ulikuja mapema kabla ya ukristo lakini subsaharan countries zina wakristo wengi kuliko waislam kwa sasa. sasa uislamu ungekua unakua kwa spidi hiyo uliyotaja hapo juu si bara zima la africa lingekua na waislamu? ilikuaje sasa uislamu uingie kwa kwanza africa halaf ushindwe kufua dafu mbele ya ukristo uliokuja africa hapa juzi juzi tu?
KWA HIYO HAITATOKEA SIKU UISLAMU UKAUZIDI UKRISTO HAPA DUNIANI INTERMS OF POPULATION AND WORSHIPERS
CHUKUA HIZI REFERENCE MKUU
REFERENCE YA KWANZA
Christianity may be declining in the West and Islam is surging, but in the world as a whole, it's a different story. So says Ryan Mauro:...
READ MORE THIS LINK Islam losing ground to Christianity?
REFERENCE YA PILI
Some experts predict the shift of Christianity's center from the European industrialized nations to Africa and Asia in modern times.
Yale University historian
Lamin Sanneh stated that "African Christianity was not just an exotic, curious phenomenon in an obscure part of the world, but that African Christianity might be the shape of things to come."[SUP]
[15][/SUP] The statistics from the
World Christian Encyclopedia (David Barrett) illustrate the emerging trend of dramatic Christian growth on the continent and supposes, that in 2025 there will be 633 million Christians in Africa.
Only nine million Christians were in Africa in 1900, but by the year 2000, there were an estimated 380 million Christians.
LINK NI Christianity in Africa - Wikipedia, the free encyclopedia
LINK YA TATU
China on course to become 'world's most Christian nation' within 15 years
By 2030, China's total Christian population, including Catholics, would exceed 247 million, placing it above Mexico, Brazil and the United States as the largest Christian congregation in the world
LINK NI ni China on course to become 'world's most Christian nation' within 15 years - Telegraph
REFERENCE YA NNE
Africa: Christians outnumber Muslims LINK NI
Africa: Christians outnumber Muslims - Vatican Insider