Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,456
- 1,937
Hahahahahahahahahaaaa!
Free ideas ndio bado haujamtambua Mungu?
Ukisema uoga wa watu ndio umeumba Mungu, unamaana wasiowaoga hawana Mungu?
Na kila muaoga anaamini Mungu?
Embu toa scope ya huo uoga unaoumba Mungu!
Na maana Watu,wakifika ukomo wa mawazo na ugunduzi hapo ndo,Mungu anaumbwa kwa namna na majina mbali mbali,Lakini kadri siko zinavosonga KAZI ZA MUNGU ZINAPUNGUA NA DINI ZINAKOSA UMAANA MBELE YA JAMII INAYOANZA KUJITAMBUA.,Nathubutu kusema dini ni UONGO NA ULAGHAI WA ZAMANK UNAOPOTEZA MVUTO KADRI SIKU ZINAVOSONGA.
Watu wa zamani walijua hata ajali,ni kazi ya mungu,ila kwa sasa,ajal za kizembe zinaepukika.Watu walijua maswala Ya Dunia,jua,mwezi ni Exceptional,lakini sayansi inaizika dini kila kukicha.
Hata mvua haikuwa ikielezeka kwa umakini lakini leo tunajua mvua na mawingu vinafanyika vip.,Haina haj ya kuamini chochote(kwa upande wangu)
Mungu aliyeruhusu Biashara ya Utumwa ndo huyo huyo aliekuja kuukataaa baada ya miaka kadhaa!!,Uhalali wa Utumwa ulitoka wapi wakati ule na baadae kubailishwa??
Mungu aliyeruhusu Taifa teule liue kila kitu likiwa njiani kurudi Taifa kwao.
Mungu aliyemuumba malaika huku akijua atamuasi na kuwa shetani,
Mungu aliyemuadhibu Adam huku akijua yajayo.,Mungu anayeumba watoto vilema,viwete n.k.Mungu aliyemuumba mwanadam na kumwekea matamanio yote lakini pia hukumu.Huku akijinadi kuwa amempa UHURU,uhuru??labda kama sijui maana ya uhuru.
Ulishawahi kujiuliza kwa nn wanaojiita manabii na mitume walitika mashariki ya kati??.Je unajua kwa nn?
NIMALIZOE KWA KUSEMA DINI NI ULAGHAI NA UONGO UNAOPITWA NA WAKATI.