Umeelezwa na Utaendelea kuelezwa ingawa sio lazima uchague huo ushauri you were created with freedom of choice as satan adam and eve. Uwepo wa Mungu Unajidhihirisha kupitia Kazi zake. Yaani Approach nzuri ni down-up approach kutoka kwa kazi zake kwenda kwake. Na ndivyo anavyomweleza hata ayubu walipokuwa wakihojiana. Cha ajabu unaenda kutafuta vijusfication outdated kabisa(Euclid geometry) ili uufurahishe Moyo Wako.
Mungu Yupo kwa Ushahidi wa kazi zake, Na alivyovisema vyote ndivyo vinaonekana sasa kupitia sayansi. Kwa maana nyingine Akiamka Ayubu leo hatashangaa akiona Vitu ambavyo yeye aliambiwa kwa kwa maneno akaviamini Leo Dunia Inatumia matrillions ya dollar kuvigundua.
Wewe ndio unatakiwa watu wakushangae kwa kutumia vitu ambavyo ni irrevant na havina uhusiano kama proof ya kutokuwepo Mungu Huku basis ya proof ni Uwepo wa Mungu.
Proof ya Uwepo wa Mungu ni Kazi zake, Ila sio lazima Ukubali unaweza kuendelea na Utaratibu wako wa maisha.
Nakuelewa lakini naomba kutofautiana na wewe kuhusu vitabu.
Mfano mdogo tu Mungu Miaka zaidi ya 3000 iliyopita kupitia watu unaowaona hawafai tena AYUBU ambaye hakuna ushahidi wowote kama alikuwa Muisrael Alimwambia Vitu Viwili vya Msingi
1: Mwanga Aliimba unatembea 2: Giza liko stationary (does not move) Imeichukua dunia miaka yote hiyo hadi Newton mwaka 1675 kugundua hilo, Cha ajabu Credit zitaishia kwa newton au galileo au NASA wakati hajagundua kitu kipya ni kitu ambacho Mungu alikisema na Akasema Amekiumba yeye.
Ndio maana anasema "******** ANASEMA MOYONI MWAKE HAKUNA MUNGU"
Mjinga yeye anachukua hatua kuangalia kazi anazosema ni zake na kuona kama kuna uhalisia wa anachokisema. Mfano alisema anashikilia malimwengu kwa nguvu zake, Leo 2015 anakuja jamaa anagundua DARK ENERGY that holds the universe and it is Impractical to be by chance, na wanakubaliana hadi wanasayansi wasioamini uwepo wa Mungu kuwa kuna kitu kingine intelligent, with knowledge, creative power behind this fine-turning and energy balance. Mungu anasema na alisema miaka zaidi ya 4000 iliyopita ni yeye na hajawahi kubalisha, Ukimfikisha hapa mtu anaitwa KIRANGA anakwambia sio kazima awe Mungu, Ukimuomba alternative yeye anadhani ni nani au nini ili tukijadili tuone uhalali wake. Dunia ni Duara linaloelewa Mungu kasema ameiumba hivyo miaka miingi zaidi ya 3000 iliyopita sisi tunajua na Science imethibitisha lakini wapo watu duniani wana chama chao ambacho kiongozi ni ELOUTIONIST yaani kuonyesha ubishi tu wanasema Dunia Ni Kama Meza. Sasa Dunia lazima iwe na watu wenye kufikiri wanavyotaka ili maisha yaende.
Ila MUNGU YUPO, PROOF ni KAZI ZAKE.
ANaruka na kuuliza swali, Naomba ushahidi Mungu Yupo?
Wewe mwenyewe ni Uthibitisho wa Uwepo wa Mungu.
Dunia inayokuzunguka na Universe yote Ni ushahidi wa Uwepo wa Mungu.
Take time to explore nature achana na hizo outdated traditional logics na contradiction. Jifunze kidogo Modal Logics
Haya maswali hayaulizwi na Mtu aliyeamini Mungu Yupo. Unapaswa Kuamini kwanza ndio upate uhalali wa kuuliza kitu unachosema hakipo kijue. Simamia njia unayopitia toka mwanzoUmeandika "you were created with freedom of choice".
Suppose nipo njiapanda, njia inagawanyika kwenda kulia na kushoto.
Kwa mujibu wako, nina uhuru wa kuamua niende kulia au kushoto.
Kabla sijachagua kwenda kulia au kushoto, Mungu wako anajua njia nitakayochagua?
Sema unachotaka maana mimi naona unatangatanga tu Mara Mungu hayupo, Mala unamkejeli, mala unauliza kama yupo mbona hivihivi, Mara hawezi kuwepo kwa sbabu kuna watu wanateseka. You don't know what you needHayo maelezo yako umeyatoa wapi? ni kwa mujibu wa nani? unajua kuwa ninichokitaka ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu?
Unauliza maswali mepesi ukiwa umekaa nyuma ya keyboard wakati wenye nia ya kujua wako lab wanachunguza na wamejua universe expands, and all those things were made and happen to support live on earth. Expansion of universe imeshasema na Mungu miaka zaidi ya 3000 iliyopita wewe unashangaa leo. Umiza kichwa kidogo hata kusoma scientifi journals kila kitu kiko waziMimi ninakunya. Kunya ni waste production. 100% efficient systems do not produce waste. Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini hakuumba viumbe wenye 100% efficiency wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba viumbe hivyo?
Jibu ni kwamba hatukuumbwa na Mungu. Tungeumbwa na Mungu huyo tusingekunya.
Dunia na universe ni ushahidi wa a massive bad use of space. Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angejua kutumia space more efficiently kuliko ilivyo leo katika ulimwengu.
More than 99% of the observable universe is empty space. Even in matter, if we take hydrogen, the most abundant atom in the universe, 99.9999999999996% of the hydrogen atom is empty space.
What a waste!
Hili linaonesha ulimwengu haukuumbwa na Mungu huyu mnayemsema mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
It seems like you are the one who needs to take time to explore nature.
Why would God create such an energy inefficient creation? Why would God create the universe with such a waste of space?
Ndiyo.Kwa hyo kuwepo kwa mouvu ni sababu moja wapo ya kusema mungu hayupo..??
Hehehee. Reasoning sio jeshini kila kitu ndio afande hapana afande. Unaongelea kosa as if una standard ya kuamua kosa na lililo sahihi. Bahati mbaya huamini kama hakuna Mungu na kwa hiyo huna basis yoyote ya kusema kuna kosa. Kwa falsafa yako hakuna kitu kama kosa na wala hakuna kisicho kosa.Je binadamu huwa anatenda kosa?....hili ni swali la ndiyo/hapana.
Usiwe confused, Take time to read and explore things. Haya mambo sio siasa na sisi sio wa kwanza kujadili.Mkuu hapo una ni confuse, mi sjui kuwa Mungu alimwambia hivo vitu, na sjawahi kuona sehemu wala kuskia hiko kitu.
Lakini pia wana sanyansi wakikubaliana kuwa kuna energy, sidhani kama ndio energy hiuo ni Mungu.
Tunarudi pale pale kuwa kushindwa kupata majibu ya sanyansi hakuoneshi uwepo wa Mungu.
Kwa mujibu wako.Lete uthibitisho,kama mabaya yanaletwa na Mungu.
Kuna aliyethibitisha Mungu hayupo humu ndani? Kuna aliyethibitisha Truth Table ipo humu ndani?Kuna aliyethibitisha Mungu yupo humu?
I am not in need of anything as long as this bone of contention on a cock and a bull story about God's existence is concerned.Sema unachotaka maana mimi naona unatangatanga tu Mara Mungu hayupo, Mala unamkejeli, mala unauliza kama yupo mbona hivihivi, Mara hawezi kuwepo kwa sbabu kuna watu wanateseka. You don't know what you need
Kweli msioamini Mungu,hamjiamini kwa hoja zenu,wauliza aliyeumba,wakati hoja zenu,mwasema hakuna aliyeumba.wauliza unachokikanusha.Kwa mujibu wako.
Aliyeumba ulimwengu ni nani? Aliyeamua kipi kiwezekane na kipi kisiwezekane ni nani?
Una matatizo makubwa sana wewe. Ukishaona picha imechorwa hauhitaji kuwa na Phd kujua kuna mchoraji. Sasa kama unadhani ubongo wako ambao no complex kuliko magari na michoro sio obvious basi una tatizo kubwa zaidi.Huto Mungu wao angekuwepo ingekuwa wazi kiasi kwamba swali la kuuliza kama Mungu yupo lingekuwa halina mantiki kuliko kuuliza kama anayeuliza hilo swali yupo.
Hivi huwa unafanya proofreading baada ya kutype kweli?....Pengine ndio sababu unashindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu.Hehehee. Reasoning sio jeshini kila kitu ndio afande hapana afande. Unaongelea kosa as if una standard ya kuamua kosa na lililo sahihi. Bahati mbaya huamini kama hakuna Mungu na kwa hiyo huna basis yoyote ya kusema kuna kosa. Kwa falsafa yako hakuna kitu kama kosa na wala hakuna kisicho kosa.
Baada ya kujua hayo swali lako ni nini hasa?
hauwezi kusema vitu juujuu tu ukaondoka. lazima ueleze why,how,what,when,where. na kama ni mtu wa dini lazima unachokisema kiwe na ushahidi usiotiliwa shaka kutoka katika bibilia. Pia Mambo ya Imani kuna watu wanachukulia kama mambo ya watu wasio na akili, Kila kitu kiko supported na reasonable ground.Hivi mkuu ngoja nikuulize
Mfano
Mimi hapa iceman nikisema leo kuwa huko juu sana angani kuna kuna viti vya dhahabu vingi sana. Na ntakwambia kuwa watu wenye matendo mema wakifa huwa wanaenda kukaa huko.
Je kwakuwa siwezi kuthibitisha kama vipo uta nipinga mimi!!?
Au utakubali kwakuwa wewe huwezo kuthibitsha kama kweli viti hivo havipo!!?
Kuna kipindi nilisema inawezekana naongea na mtoto kifikra. Sasa nadhani ni wakati muafaka kutumia muda wangu kwa vitu vya faidaHivi huwa unafanya proofreading baada ya kutype kweli?....Pengine ndio sababu unashindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Tuachane na hayo,.....Toa ushahidi/uthibitisho wa uwepo wa Mungu.
Siyo kila usemacho ni reality! wala siyo kila usemacho kitakuwa! Kama umeshindwa kujibu hoja we tembea tu....kuandika sentences mbili makosa kibao hadi ujumbe unakosa logic, ndio maana sikushangai unavyong'ang'ania imani isiyokuwa na logic.Kuna kipindi nilisema inawezekana naongea na mtoto kifikra. Sasa nadhani ni wakati muafaka kutumia muda wangu kwa vitu vya faida
Created being uses created limited mind to question the supernatural creator with examples of created works of creator. His wisdom and decisions are beyond Time and space and infinity. Pale ambapo uwezo wako unaishia kifikiri yeye ndipo anapoazia.Ndiyo.
Kwa sababu Mungu huyu anayesemwa yupo ambaye wanaosema yupo wanadai ni mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, asili yake hiyo inapingana kabisa na dhana ya yeye huyu Mungu kuumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana kuwepo.
Hebu fikiria, rais wa nchi tu au mwanasiasa akiwa na uwezo wa kuzuia maovu lakini asiyazuie tunamuanzishia kesi ICC.
Uhuru Kenyatta kapelekeshwa miaka kibao kuhusu kesi ya mauaji ya Wakenya.
Na Uhuru Kenyatta hana uwezo wote, hana upendo wote na hana ujuzi wote.
Sasa inakuwaje sisi watu tuwe na standards za juu sana kwa Uhuru Kenyata, mtu tu ambaye hana uwezo wote, hana upendo wote wala hana ujuzi wote, halafu ikitokea kesi ya Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kufanyika tuweke standards za chini kuliko tunazomuwekea Uhuru Kenyatta?
Ushawahi kujiuliza swali hili?
Kama Mungu kweli yupo, ana uwezo wote, ana ujuzi wote na ana upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Kuna wanaojibu kwamba Shetani ndiye kasababisha mabaya. Hili si jibu. Shetani naye ni kiumbe tu. Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao shetani ameweza kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao Shetani hakuweza kuwepo?
Ukichunguza sana utaona kwamba ukweli ni kwamba Mungu huyu hayupo, ametungwa na watu tu.
Angekuwepo angeumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, kwa sababu ulimwengu huo ndio ule ambao haupingani na asili yake.
Unajuaje na mimi siko lab?Unauliza maswali mepesi ukiwa umekaa nyuma ya keyboard wakati wenye nia ya kujua wako lab wanachunguza na wamejua universe expands, and all those things were made and happen to support live on earth. Expansion of universe imeshasema na Mungu miaka zaidi ya 3000 iliyopita wewe unashangaa leo. Umiza kichwa kidogo hata kusoma scientifi journals kila kitu kiko wazi