Najivunia kutokuogopa kuuliza swali kwa kuona nitaonekana mjinga au nina upeo mdogo.Kuna imani tofauti, imani isiyothibitishwa inapothibitishwa inaacha kuwa imani, inakuwa ujuzi.
Ulichoambiwa ni kwamba usikubali kitu kama ukweli mpaka ukitibitishe kwanza.
Umeelewa?
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo. Huwezi kuthibitisha. Na zaidi, umeelezwa jinsi Mungu wako alivyo na contradiction.
Kwa nini unaendelea kuamini kitu chenye contradiction ambayo huwezi kuiondoa?
Unaweza kuthibitisha hayo unayosema,kama yanafanyika.Toa uthibitisho,unaothibitika bila kutafuta uthibitisho wa kutoka nyenzo isiyothibitisha.Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
That is a logical fallacy.Ungekuwa wajuwa maana Yake,wala usingeuliza.
Nieleze tena mara ngapi?Najivunia kutokuogopa kuuliza swali kwa kuona nitaonekana mjinga au nina upeo mdogo.
Hebu eleza vizuri hizo imani tofauti,maana ni jambo jipya kutoka kwako.
Lakini pia Behaviourist hajazungumzia kukubali jambo bali alizungumzia kuamini jambo...nakumbuka ulisema kuna tofauti ya kuamini na kukubali.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Nikisema siwezi kuthibitisha itakuaje?Sawa.
Wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Mimi ndio niliyekuambia kuhusiana na hayo,usiyoyajuwa.That is a logical fallacy.
Leo nimekufundisha kitu kimoja ambacho ulikuwa hukijui, kinaitwa immanent critique.
Ujue wewe kwa kwenda na mimi hapa naona nakufundisha vitu vingi mpaka sasa nataka kukuanza kukuchaji ada kwa shule ninayokupa.
Ni hivi, si kila anayeuliza hajui maana.
Katika kujuzana na kuhojiana kuna nama moja ya maswali yapo katika "The Socratic Method".
Kwa kutumia "The Socratic Method" mtu anaweza kukuuliza swali ambalo analo jibu lake, ila anataka ufikirishe ubongo wako kulijua.
Kwa kusema "ungekuwa wajua maana yake wala usingeuliza" inaonekana hujajua "The Socratic Method" ni kitu gani.
Pia hujaelewa kwamba nimekuuliza kuhusu "immanent critique" kwa sababu nimeitumia halafu nikaona umesihangaa, hjaijua, hujaielewa, umeihoji.
Kwa hiyo mpaka hapa umejifunza vitu viwili ambavyo hukuvijua nimekufundisha.
1. Immanent critique
2. The Socratic Method
Immanent critique - Wikipedia
Socratic method - Wikipedia
Tatizo najibizana na mtu ambaye helewi vitu vya msingi kabisa vinavyotakiwa katika mahojiano haya.
Hujajibu swali langu.
Sasa kama wewe ulikuwa unajua immanent critique ni nini, na mimi nilikuwa siijui, mbona nilivyotoa immanent critique hapa uliishangaa na kuniuliza inakuwaje nahoji uwepo wa Mungu kwa kutumia vitabu vya dini?
Hujajibu swali langu kwanza, unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa standards za uthibitisho hizo hizo ulizozitaja?Unaweza kuthibitisha hayo unayosema,kama yanafanyika.Toa uthibitisho,unaothibitika bila kutafuta uthibitisho wa kutoka nyenzo isiyothibitisha.
Utakuwa unaamini kitu ambacho si tu huwezi kuthibitisha, bali pia kina ckear contradictions ambazo hujazi resolve.
Mbona yeye hapost kujitetea? Mpaka ww dhaifu uhangaike kumtetea?Jamani hizi mada zenu za kumdhihaki Mungu mi zinaniudhi sana, hebu mwacheni Mungu wetu kwa nini mnamsakama kila wakati..
hebu zitajeni neema zake alizowabariki, acheni kumdhihaki Mungu, Mungu ni MKUU, ASIFIWAYE NA ANATUKUZWA KILA SIKU
Nakumbusha kuwa Behaviourist hakuzungumzia kukubali ila alisema kuamini.Nieleze tena mara ngapi?
Mbona nishaelezea imani ambayo haina tatizo la kuwa na contradiction, iliyo na mantiki, na imani ambayo ina contradiction na haina mantiki?
Kwa nini unaamini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani licha ya hii imani kuwa na contradiction ya wazi?
Kwahiyo na wewe kuamini jua kuwa litachomoza kesho ni imani ambayo Ina contradiction kwa sababu huwezi kuthibitisha?Utakuwa unaamini kitu ambacho si tu huwezi kuthibitisha, bali pia kina ckear contradictions ambazo hujazi resolve.
Huna tofauti na mtu yeyote anayeamini uongo wowote ule ambao haujathibitishwa kuwa kweli na una contradiction.
Nikiwa nakuja ukuina nyumbani kwako kabla sijawasiliana nawe, nafanya hivyo kwa imani.Nakumbusha kuwa Behaviourist hakuzungumzia kukubali ila alisema kuamini.
Navyojua mimi hizo aina za imani ulizotaja zinagawanyika kwenye makundi mawili tu,imani sahihi na potofu. Sasa mie nilijua kuna la ziada kuhusu tofauti za imani hasa uliposema kuna imani ambazo ukithibitisha haiwi tena imani.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Contradiction ipi?Kwahiyo na wewe kuamini jua kuwa litachomoza kesho ni imani ambayo Ina contradiction kwa sababu huwezi kuthibitisha?
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Uthibitisho,unao lakini wajidanganya huna.Haiwezekani unachoamini hakipo,ukashindwa kukithibitisha hakipo ila kwa kupitia nyenzo za mwenye kuthibitisha kuwepo.Hujajibu swali langu kwanza, unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa standards za uthibitisho hizo hizo ulizozitaja?
Utatakaje nikujibu swali lako wewe wakati wewe hunijibu langu nililokuuliza kwanza?
Kisichopo hakiwezi kuthibitishwa kwamba hakipo zaidi ya logical examination.Uthibitisho,unao lakini wajidanganya huna.Haiwezekani unachoamini hakipo,ukashindwa kukithibitisha hakipo ila kwa kupitia nyenzo za mwenye kuthibitisha kuwepo.
Umeshapewa uthibitisho wa kutosha,ila uelewa wako uko chini.Kisichopo hakiwezi kuthibitishwa kwamba hakipo zaidi ya logical examination.
Kwa sababu hakipo.
Wewe unaweza kuthibitisha chochite ambacho hakipo kwamba hakipo?
Kilichopo ndicho kinaweza kuthibitishwa kwamba kipo.
Kwa sababu kipo.
Unasema Mungu yupo.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Huo si uthibitisho. Hayo ni mahubiri.Umeshapewa uthibitisho wa kutosha,ila uelewa wako uko chini.
Chochote unachokiona ujuwe yupo aliye kifanya,kitu kidogo tu,kiatu unakivyaa,na humjui wala kumuona aliyekitengeneza,lakini husemi kiatu kimejitengeneza wenyewe.
Unaweza kuthibitisha Mungu hayupo?Huo si uthibitisho. Hayo ni mahubiri.
Nimetaka uthibitisho. Si mahubiri.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Yes.Unaweza kuthibitisha Mungu hayupo?
We umeniambia kuwa kwa sababu siwezi kuthibitisha kitu ninachokiamini hivyo naamini kitu chenye contradiction.Contradiction ipi?
Unaweza kuitaja?
Unaelewa contradiction maana yake ni nini?