Who could have analysed this?

Patiently waiting for Pundit's input, followed by Mkandara, Kulikoni & Yebo Yebo....
 
Hate it or love it...mambo mengi aliyosema humu yanalenga kwenye ukweli at least IMO.
 
Hate it or love it...mambo mengi aliyosema humu yanalenga kwenye ukweli at least IMO.

mhhh unajua kanimaliza hapo alipoamua kuwawashia CCM na CHADEMA na kama ujuavyo luga aliyotumia nayo kidogo kuna baadhi ya watu wanaona ugumu kuijibu

You gotta love JF!

EBWANA SALAMA LAKINI? UPO?
 

Hivi wewe kwa akili yako unaamini kuwa wasomi tunao pale UDSM? Ushasahau walivyooandamana kuinga mkono CCM?

Hivi unajua hapa unazungumzia higher education institute ambayo wanafunzi wake wanashindwa hata kuorganise open lectures kujadili mambo mbali mbali

Alivyofanya Ben sawa sawa mnataka kuwa competitive katika dunia ya leo halafu kujieleza kwa kiingereza hatuwezi!

Ukitaka kujua kama UDSM hamna kitu tazama walipotimuliwa walikimbilia wapi?

walikuja JF kuomba msaada...what a bunch of twats they are! hivi walishindwa vipi kuwa na blogs au forums ambazo wangeweka kuweka bayana issues zao?


lakini ndio hivyo tena ndio watawala wetu wa kesho hao
 
mhhh unajua kanimaliza hapo alipoamua kuwawashia CCM na CHADEMA na kama ujuavyo luga aliyotumia nayo kidogo kuna baadhi ya watu wanaona ugumu kuijibu

You gotta love JF!

EBWANA SALAMA LAKINI? UPO?

Ha ha...
Nipo...nawasubiria waungwana wa Magogoni wanieleze nao naona wanaogopa kutumia simu.

Back to the subject. ebanae this piece ina ukweli mwingi tuu sema tatizo ni kuwa kuna supposedly untouchables nao wameguswa. Tutaanza kumshambulia muandishi badala ya hoja zake.

Nice weekend y'all.
 

© 2008 by ROSTAM AZIZ and EDWARD LOWASA. All rights reserved
 
Back to the subject. ebanae this piece ina ukweli mwingi tuu sema tatizo ni kuwa kuna supposedly untouchables nao wameguswa. Tutaanza kumshambulia muandishi badala ya hoja zake.
Pamoja na kuwa watu wanaweza kukichambua hiki kipande watakavyo na huenda wakaja na ukweli zaidi,,, mimi binafsi nilipokiona nimejua uandishi wa nani na nakikubali kichwa chake. Hizi hoja zake % kubwa (si yote) ni kweli... Mzee rudi ukumbini, unahitajika tena hapa mkuu! This' interesting to read. You know em folks 🙂
 
..hizi ndio dalili za mwanguko!

..haponi mtu,akipona atauguza majeraha!
 



Hii nayo jamaa kasema volumes...hivi kuna mtu anayo CV ya Kubenea? I doubt kama Kubenea alisoma mwandishi hapo juu

ningependa kumsaidia kubenea angeanzia hapa kwa George Orwell kisha atajiendeleza taratibu assuming alishasoma vitabu kama THINGS FALL APART na A MAN OF THE PEOPLE


 




Jamani naona hii itabidi tumsubiri jamaa aje kuijibu na na najua atamjibu mwandishi katika klugha hiyo hiyo aliyoitumia mwandishi..yaani kiingereza maana jamaa naye ni msomi vile vile esp hiyo point kuwa mkewe ni opportunist


Mwandishi ni mjanja sana yaani anauma kisha anapuliza

sawa sawa
 
GT,
Mbona mchokozi? Of all mentioned umeiona hii tu ya Malecela?
 
GT,
Mbona mchokozi? Of all mentioned umeiona hii tu ya Malecela?

I am loving every single moment of this....nasubiri kwa hamu huyo ambaye huwa anawakusanyia na kuwapelekea kama taipeleka na hii...actually ngoja nimuingize kwenye bussy list yangu kabla mambo hayajabadilika
 

Balile mjanja sana...alikuwa anakula pesa za Freeman na huku anakula za Membe na mwishowe alipata alichokuwa akikitaka na ushahidi huu hapa:Sasa LOVE him or HATE him but this is what I call a TRUE HUSTLER....safi sana sema asiwe mjinga mjinga kama mwenzie KUBENEA ambaye i seriously doubt kama lisoma anywork by GRACE OGOT let alone any literary work by GABRIEL GARCIA MARQUEZ

Najiulize huyu JJ MNYIKA naye taenda shule lini? umri wake ni wa kusoma na baada ya kuwafagilia wenzie its about time this kid goes to school
 
Na sasa nasikia ameajiriwa na fisadi Lowassa.
 
5. Augustine Mrema – the man needs help.

But he is a graduate(japo degree yake tunaweka kuiclassify kama MICKEY MOUSE DEGREE) here is the evidence:



One thing is for sure, I seriously queston his SANITY..hili kila mtu analijua ..theory yangu ni kuwa zile itikafu za msikiti wa kwa Mtoro na marehemu Sheikh Kassim probably zinafanya kazi yake
 
Na sasa nasikia ameajiriwa na fisadi Lowassa.

Ahh bwana eeeh!

Duh! sasa hii ishakuwa issu, huko tena siyo ku HUSTLE bali ni highest degree of whoring...unless mwenyewe aje humu kuja kubisha

washamlipia shule lakini bado hatuliii tuuu
 
13.Benard Membe – "I am telling you, I will do a better job. Condi Rice is my friend"
Kwa huyu mimi nadai refund yangu jamaa akumuelezea ipasavyo unless kuna Part II yake itaendelea weekend ijayo.
 
Kuna longolongo na upuuzi mwingi hapa kuliko facts na busara.
 

Ni kweli kuwa Mrema na digrii yake hii ya PWU aliboa sana kwenye anga za siasa Tanzania. Nilimpigia kura yangu mwaka 1995 pale Rwegarurila Chuo cha Maji; hata hivyo, sijuti lolote kwani zaidi yake ningempigia Mkapa ambaye tunajua uwazi wake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…