Who cares

wake zao wana bahati,wanaume wa JF mjifunze na nyie kusaidia wake zenu at least jioni ikifika ukidai tunda kutakuwa hakuna kisingizio cha kuchoka.
 
Hawa chekechea hapo chini ndo wanajua ugomvi, wao hapo tayari wamekubaliana kila mmoja avue viatu,afu hakuna mateke,afu ngumi wanarusha kwa awamu,afu hakuna kupiga kwenye MAJICHO,wakimaliza hapo hakuna Bif tena!
 
unasogeza,unaendelea...siku zinasonga!:wacko:
 
dah CCM kila dhambi washazitenda kwao kilichobaki ni nafsi ya chama chao irudi kwa muumba wake lucifer
 
Sisi tunapiga hatua moja mbele huku mbili tunarudi nyuma alafu tunasema uchumi unakuwa!
 
Lol! Kitambo ilitokea msiba Moshi, watu wamezunguka jeneza na kaburi. Candles zikakutana na perfumes zilizopuliziwa maiti, ikatokea kama explosion. Watu walikimbia hadi waliokuwa wameshikiliwa wakawapita washikiliaji!
 
Kijijini ndo wanatoa adhabu hizi. Hawa watoto wa mjini wanavyovaa sketi fupi, ukimuambia afanye hivyo mwalimu ndo ataadhibika!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…