WHO: Aina mpya ya Kirusi cha Corona imethibitishwa kwenye mataifa manne barani Afrika

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mataifa manne barani Afrika yameripoti aina ya Kirusi cha COVID19 ambacho kiligundulika kwa mara ya kwanza Afrika Kusini. Nchi hizo ni Botswana, Zambia, Gambia na Kenya.

Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti ametaja sababu ya kuenea kwa Kirusi hicho kuwa ni mzunguko wa watu barani humo. Ameeleza, inawezekana kinasambaa katika Nchi mbalimbali lakini bado hakijagundulika.

Timu ya Watafiti kutoka Vyuo Vikuu vitatu Afrika Kusini imebaini Chanjo zinazotumika hivi sasa zinaweza kushindwa kufanya kazi dhidi ya aina hiyo mpya ya Kirusi cha Corona.

=====

Botswana, Zambia, Gambia and Kenya have detected a variant of the Covid-19 virus that was first identified in South Africa last year, the World Health Organization (WHO) has said.

WHO's Regional Director for Africa, Matshidiso Moeti, attributed the spread to the movement of people across the continent.

“It may also be that the new strain is circulating in different African countries but have not been identified. We are now working with scientists in different laboratories with the capacity to determine the complete DNA of the virus to boost their surveillance," Dr Moeti told journalists in a virtual press conference.

Kenya’s Health Director General, Patrick Amoth, told the BBC the variant was found on two South African passengers who had travelled to Kenya one month ago.

“Through routine testing for anyone coming into the country, we were able to detect the new strain from samples collected. The two men are already back in South Africa," Dr Amoth said.

South Africa is the worst-hit country by the pandemic in the continent.

A team of researchers from three South African Universities working with the National Institute for Communicable Diseases found that the current vaccines being used may not be effective against this new strain.
 
Wekeni siasa pembeni angalieni uwezekano wa kulinda raia dhidi ya balaa hili
Nalog off
 
Pengine hichi ndio kirusi chetu tulicho tengenezewa ila Mungu ni mwema kita wafeka wao zaidi
Yaani mpaka sasa bado najiuliza, iweje kirusi kipya kigundulike Africa ikiwa maambukizi barani Africa ni asilimia ndogo ukilinganisha na mabara mengine.

Na ni ipi sababu hasa iliyopelekea kuzalishwa kwa kirusi hicho kipya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazingira magumu yaliyofanya kirusi cha awali kisiweze kustawi Afrika ndiyo yanaweza kuwa sababu ya kuzaliwa kwa kirusi kipya ambacho kitaendana na mazingira hayo!

Kawaida ya virus wanabadilika kulingana na mazingira!
 
Yaani mpaka sasa bado najiuliza, iweje kirusi kipya kigundulike Africa ikiwa maambukizi barani Africa ni asilimia ndogo ukilinganisha na mabara mengine.

Na ni ipi sababu hasa iliyopelekea kuzalishwa kwa kirusi hicho kipya?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbuka comments za mkewe Bill Gates, alisema maiti nyingi za Waafrika zitakuwa zinaokotwa barabarani - bahati nzuri utabiri wake haukutimia, yaani plan "A" proved abortive, sasa watu hawa ndio wametujia na plan "B" ili tuteketee - kwa hili labda upigaji wa nyugu unaweza kutunusuru au chanjo za Uchina au Urusi, vinginevyo hali haitabiriki kusema kweli.
 
Ni Kweli, Mungu ni mwaminifu sana. Ataingilia kati tu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwa yupo, kusingekuwa na Corona inaua watu kwa mafungu.

Wala kusingekuwa na ugonjwa wowote.

Huyo Mungu wako anafurahia watu wanavyoishi kwa hofu ya magonjwa na kufa?
 
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mataifa manne barani Afrika yameripoti aina ya Kirusi cha COVID19 ambacho kiligundulika kwa mara ya kwanza Afrika Kusini. Nchi hizo ni Botswana, Zambia, Gambia na Kenya.

Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti ametaja sababu ya kuenea kwa Kirusi hicho kuwa ni mzunguko wa watu barani humo. Ameeleza, inawezekana kinasambaa katika Nchi mbalimbali lakini bado hakijagundulika.

Timu ya Watafiti kutoka Vyuo Vikuu vitatu Afrika Kusini imebaini Chanjo zinazotumika hivi sasa zinaweza kushindwa kufanya kazi dhidi ya aina hiyo mpya ya Kirusi cha Corona.

=====

Botswana, Zambia, Gambia and Kenya have detected a variant of the Covid-19 virus that was first identified in South Africa last year, the World Health Organization (WHO) has said.

WHO's Regional Director for Africa, Matshidiso Moeti, attributed the spread to the movement of people across the continent.

“It may also be that the new strain is circulating in different African countries but have not been identified. We are now working with scientists in different laboratories with the capacity to determine the complete DNA of the virus to boost their surveillance," Dr Moeti told journalists in a virtual press conference.

Kenya’s Health Director General, Patrick Amoth, told the BBC the variant was found on two South African passengers who had travelled to Kenya one month ago.

“Through routine testing for anyone coming into the country, we were able to detect the new strain from samples collected. The two men are already back in South Africa," Dr Amoth said.

South Africa is the worst-hit country by the pandemic in the continent.

A team of researchers from three South African Universities working with the National Institute for Communicable Diseases found that the current vaccines being used may not be effective against this new strain.
Tz bado tunafanya mzaha
 
Bado kidogo hawa nguruwe wataanza kuaminishana na kuendeleza uongo kwa karne nyingi kuwa Covid19 ilianzia Afrika.
 
Back
Top Bottom