White House: Obama- Castro handshake not ‘pre-planned’

Kweli sipati picha siku ambayo marekani watatoka hapo kileleni mwa uchumi na kukaahapo wengine, cjui ndo itakuwa mwisho wa hizi chuki zao?
 
Nso huo ujuaji umeuona, Bush junia

Kwani hata kama wewe ungezaliwa 84+ si mambo ni hayo hayo? tena anaweza akawa ana ujuaji wa hayo mambo zaidi yako wewe wa zamani
 
Asante kwa ku-edt post yako ya awali, sasa iko sawa.

Hivi mie kwenye post nimesemaje, Bush Senior au Junior? Sasa Mandela aliachiwa 1990 nani akiwa Raisi, Bush Junior au Junior? Mnaelewa maana ya Junior na Senior lakini? Angalia nani ni mediocre mind ukiangalia hapa;

GeorgeW Bush (Junior)
43[SUP]rd[/SUP]US President
January20, 2001 – January 20, 2009
George HW Bush (Senior)
41[SUP]st[/SUP]US President
January20, 1989 – January 20, 1993

Tatizo mnavuta bangi zilizochanganywa na kinyesi halafu ndio mnakuja huku JF
 
Hawa watu wanashanga za sana.

Wao wanamsifia Mandela kwa kusamehe watu waliomfunga miaka 27, kuua ndugu zake na kuwabaka pamoja na kuwanyima vizazi vya ndugu zake elimu. Lakini wao mtu wanayetofautiana naye ambaye hajawafanya chochote kama Castro kugusana naye mkono tu wanaona big deal.

Kwa lugha nyingine ni kama wanamuona Mandela mjinga sana kuwasamehe makaburu!!!
mkuu unamwona castro lakini nyuma yake kuna Russia mkuu, hapa ndipo ugomvi wa kinyuklia na vita baridi uliponukia na kuhatarisha uwepo wa vita ya dunia ya 3. hii ni more complicated. thats why castro na mdogo wake raul wameshindwa kung'atuka madarakani ili kupisha uchaguzi wa kidemokrasia mpaka leo.
 
Hawa watu wanashanga za sana.

Wao wanamsifia Mandela kwa kusamehe watu waliomfunga miaka 27, kuua ndugu zake na kuwabaka pamoja na kuwanyima vizazi vya ndugu zake elimu. Lakini wao mtu wanayetofautiana naye ambaye hajawafanya chochote kama Castro kugusana naye mkono tu wanaona big deal.

Kwa lugha nyingine ni kama wanamuona Mandela mjinga sana kuwasamehe makaburu!!!

nakuunga mukono.
 
Wanafiki hao!
 
Umeandika vizuri sana. Hypocrisy at it's best!
 
pengine wamarekani hawataki, je Castro naye anataka kushikana mkono na wamarekani?:tape:
 
Back
Top Bottom