White House: Obama- Castro handshake not ‘pre-planned’

WASHINGTON, Dec 10 – President Barack Obama’s handshake with Cuba’s President Raul Castro Tuesday at a memorial service for the late South African leader Nelson Mandela was not “pre-planned,” a US official said.

[h=3]White House[/h]
TED CRUZ akitoka nje kabisa Castro alivyoongea
 
Republicans ni watu wa ajabu sana. Naona sasa wanapita mipaka na kuingia kwenye siasa za kishabiki badala ya "pragmatic politics". Ni wazi sasa wao wanapinga chochote kile Obama anachofanya, hata kama ni kizuri.

Jana wakati wa msiba wa Mandela Obama alishikana mkono na Castro katika kuonyesha kwamba yuko tayari kusahau yaliyopita na kuganga yajayo, hasa katika spirit ya "Ubuntu" (ubinadamu) ya Mandela. Sasa Republicans wamekuja juu wakisema alichofanya Obama ni sawa na na kujaribu kuwafurahisha Manazi wa zamani wa Ujerumani.

Ikumbukwe kwamba Republicans, chini ya Bush Senior, waliishauri serikali ya Makaburu wa Sourth Afrika isimwachie huru Mandela mwaka 1990.

Republicans were left steaming on Tuesday after President Barack Obama shook the hand of Cuban leader Raul Castro, with one senior lawmaker likening the act to appeasement of the Nazis

“It gives Raul some propaganda, to continue to prop up his dictatorial, brutal regime, that's all,” said Senator John McCain, who lost against Obama in his 2008 bid for the White House. "It was a mistake to “shake hands with somebody who is keeping Americans in prison"

Senate Republican James Inhofe said the handshake was “not appropriate”.

Congresswoman Ileana Ros-Lehtinen “sometimes a handshake is just a handshake, but when the leader of the free world shakes the bloody hand of a ruthless dictator like Raul Castro, it becomes a propaganda coup for the tyrant”

Hey Republicans, ubuntu madoda, ubuntu!

Source: Africa Press Review

Bush na Obama walipanda ndege moja.Na democratic na republican senators waliozaliwa Cuba ndio walioanza Kelele Pia wamarekani wapo Jela huko Cuba .Na Mrusi yupo na Cuba tangia Batista aondoke Kasheshe lilianza Kennedy ( democratic Enzi hizo Fanya research sio chuki tuuu
 
BushPolitics-Mandela-Dec4.jpg

mandela-90.jpg

article-2519072-19E21DDA00000578-394_306x423.jpg
 
Hawa watu wanashanga za sana.

Wao wanamsifia Mandela kwa kusamehe watu waliomfunga miaka 27, kuua ndugu zake na kuwabaka pamoja na kuwanyima vizazi vya ndugu zake elimu. Lakini wao mtu wanayetofautiana naye ambaye hajawafanya chochote kama Castro kugusana naye mkono tu wanaona big deal.

Kwa lugha nyingine ni kama wanamuona Mandela mjinga sana kuwasamehe makaburu!!!
ZeMarcopolo usishangae kama huwajui. Soma hapa
Hypocracy.jpg Hypocricy 2.jpg Hypocricy 3.jpg
Hatuhitaji degree kuweza kuwaelewa wamarekani
911.jpg
 
Asante kwa ku-edt post yako ya awali, sasa iko sawa.

Sija-edit kitu, kongosho wewe. Ninge-edit baada ya thread kujibiwa ungeona maelezo chini ya post kuwa imekuwa edited. Acha kiherehere na kukurupuka bila kusoma kwa makini
 
Back
Top Bottom