Which Tribe is the most boring? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Which Tribe is the most boring?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Juan San Roman, Apr 11, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. J

  Juan San Roman Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani according to me,myself and I...the most boring people ni wahaya...yaani being around wahaya is sickening....story zao za kujisifia kila wakati zinaniboa...je ww watu wa kabila gani wanakuboa sana?
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wa kabila lako mkuu!
   
 3. z

  zilakina JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Acha ubaguzi wewe......ila wahaya wamezidi misifa.
   
 4. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,271
  Likes Received: 3,106
  Trophy Points: 280
  kwanza tueleze wewe ni kabila gani? Kama si mhaya kwanini haukuwa mhaya??? Au tuelezee ujanja uliofanya hadi ukawa/haujawa mhaya... kisha ndio tutaisoma hii sred yako ya hovyohovyo
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  wote poa tu kwani, mi huwa na judge watu kwa character zao binafsi , mtu akiwa wa kujisifia na mi ndo najisifia zaidi yake
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Umeandika madudu gani ...maswali yako hayana point kabisa ...

  Na we mtoa mada usilete ubaguzi wako wa ki. Mila hapa ...
   
 7. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  The more u think about WAHAYA the more u become unhappy and unable to enjoy life.. HAYA is a tribe like any other tribe under the sun so dont waste your time hating others life is too short.. After all me ni mhaya and i dont have those characters sijui sample size yako umeipataje.
   
 8. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wasomali
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sijawahi kupata vurugiko la roho kama leo.......!
   
 10. V

  Visionmark Senior Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha "UKABILA" wewe, unataka "KUTAMBIKA"??!!! Mmmh, ila msema ukweli ni mpenzi wa Mungu, tukitoa "MAJANGA" mengine yote nchini mwetu, sio siri "WAHAYA" ni "JANGA" jingine la "KITAIFA"!
   
 11. m

  makumvi Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau, nafikiri mada za aina hii, tungeachana nazo, sidhani kama ni wakati mzuri kwetu kuanza kujadiri maswala ya ukabira, hii siyo kawaida yetu jamani. ila ni bora kila moja wetu akajivunia kabila lake maana wewe ni wewe huwezi kuwa mimi na mimi siwezi kuwa wewe. after all makabira yetu yamechanganyikana ndo maana leo jaijalishi kuona watu wanaoana kutoka kabila moja kwenda jingine
   
 12. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  nachukiaaa kabilaaa la kichinaaa..kikweli ninanichukiza na kunipaa simaziii,...1.wowowooo la mchinaa, 2.sura ya mchina[rangi ya kichina}.3video computer za kichinaa..kabila bayaa sanaaa
   
 13. Cookie

  Cookie Content Quality Controller Staff Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 1,924
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Zingatia zaidi hapo kwenye rangi nyekundu

  [​IMG] JamiiForums Rules
  • SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

   Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

   1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

   2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

   3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

   4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

   5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

   6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

   7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...