Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,576
- 2,223
Heri ya sikukuu wadau...nilipenda sana thread ya bwana yoso hapo awali alietaka kujua which is the best os kwa simu za mkononi..na nilipendezwa sana na majibu ya wachangiaji..na ikanipelekea kupenda kufahamu ipi os ipo juu katika aspect ya computers kati ya windows, mac, linux including mint, fedora, ubuntu, lin-X, ultimate editions na nyingizo kadhaa...mnakaribishwa