Which is the Best comms media than whatsapp na telegram

Which is the Best comms media than whatsapp na telegram

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Salute.

Naombeni kufahamishwa maana hizo mbili zina shida kidogo.

Whatsapp ni 50user ila iko safi
Telegram ni 200user ila iko slow sana.

Interest yangu ni media yenye uwezo wa ku accomodate user zaidi ya 100

Asanteni
 
kaka kitaalamu zinaitwa instant messaging au im. ukigoogle best instant messaging zitakuja mamia kwa maelfu. au hivyo unataka group chat just google best instant messaging for group chat zitakuja za kutosha
 
Nimefanya hivyo lakin hawaelezei capacity ya number of users
 
Whatsaap inabidi ulipie ili upate unlimited...anyway ngoja nione options zingine then ntarudi
 
Back
Top Bottom