Which is the appropriate answer to this....!

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Mpenzi wako anakuambia; "I am missing you dear".

Je, wewe wapaswa kumjibu vipi?

  1. Thank you for missing me
  2. Sorry for missing me
 
Duh....mkuu mpaka sasa haujui jinsi ya kumjibu mpenzi wako?Nini kimetokea mpaka wahitaji majibu ya hiyo statement?Funguka kidogo...
Then nitaludi.....
 
me you too bby wangu,la hubba,laazizi wa moyo wangu,kirutubisho changu cha mwili(lkn kama una mmiss kweli,sio unajibu tu coz unatakiwa ku reply)
 
Kama ameajiriwa unamjibu kazi inaendeleaje na kama
anasoma unamuuliza habari ya masomo
 
Kama anakuambia "I am missing you" na mpo hapo hapo wote, basi anakosea. Au anakupasha. Kama ni kwa simu au kwa ujumbe, jibu huwa si katika hayo yote uliyoyaweka. Aidha na wewe unamiss au aendelee tu kukumiss. Na kama mpo pamoja, mpe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom