God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Nipe uthibitishoKuangalia online is cheap
Pia unaweza kudownload kwa low quality na MB zinakua chache.Watching online unaweza kuangalia kwa kutumia setting za low resolution not HD hivyo ita consume low data kuliko kulidownload file ambalo pengine ni hd/ much MB.
Fourth witch of the first order ktk ubora wako...heheNgoja nikagugo kwanza, nitarudi.
umejibu swali ambalo sijaulize. ila nashukuru.Downloading unaweza refer baadae offline, lakini streaming baadae huwezi cheki tena kama hutokuwa na bundle
okKama unataka utumie low data, pia wakati una dawnload punguza resolution ya video. Other wise ni yale yale tu.na kama ni video muhimu nafuu udawnload. Kuliko kuangalia online kila utakapo ihitaji kuangalia.
na speed ya internet inahusianaje na kula MB nyingi?mb zitaenda sawa tu, sababu unachokiangalia ndio kile kile unachokidownload. kama unataka kusave mb download movie za x265 badala ya x264, au vp9 badala ya vp8. sema utahitaji pc au simu yenye uwezo kuangalia x265 na vp9. na katika hii x265 ya 10bit ndio nzuri zaidi. jina jengine la x265 ni HEVC
mfano angalia hapa
Index of /Serial/Into the Badlands/S01/
utaona episode ya 480p ina around 200mb na episode ya 720p x265 nayo vile vile ina around 200mb japo quality imeongezeka.
kwa uzoefu wangu utasave kama mb 200 hadi 300 kwa movie ya x265
kuna website kama youtube jinsi internet ilivyo na speed ndio jinsi wanavyokuletea video ya quality kubwa na ndio jinsi mb zinavyokwenda nyingi, pia ukiwa na internet yenye speed mambo mengi hufanyika haraka hivyo unafanya mambo mengi kuliko internet inavyokuwa slow na kupelekea mb kwenda nyingina speed ya internet inahusianaje na kula MB nyingi?
Akili ya maisha unayo mkuu.Ukitaka kusave kabisa data mwambie jamaa yako akudownlidie au kadownload ofisin hapo utakuta data zako zipo vile vile.