Karucee JF-Expert Member Mar 11, 2012 18,146 34,190 May 30, 2012 #1 Mie naanza. Kuna tangazo la TPA kuna libaba lina miziwa hiyoooooo. Halafu likicheka inatikisika. Wtf?
Mie naanza. Kuna tangazo la TPA kuna libaba lina miziwa hiyoooooo. Halafu likicheka inatikisika. Wtf?
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,175 May 30, 2012 #2 malaria makes me sick na si matangazo.
jouneGwalu JF-Expert Member Apr 11, 2011 2,687 1,780 May 30, 2012 #3 Matangazo ya Zantel mengi yananikuna, mfano hili kuna mdada anaimba "Mtandao huu niiimsimulie nani, maaneno hayaumbiki kinywani.............."
Matangazo ya Zantel mengi yananikuna, mfano hili kuna mdada anaimba "Mtandao huu niiimsimulie nani, maaneno hayaumbiki kinywani.............."
jouneGwalu JF-Expert Member Apr 11, 2011 2,687 1,780 May 30, 2012 #4 Kongosho said: malaria makes me sick na si matangazo. Click to expand... Ni nini tena Kongs??