Which Advert/ Program makes you SICK?!!

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,146
34,190
Mie naanza. Kuna tangazo la TPA kuna libaba lina miziwa hiyoooooo. Halafu likicheka inatikisika. Wtf?
 
Matangazo ya Zantel mengi yananikuna, mfano hili kuna mdada anaimba "Mtandao huu niiimsimulie nani, maaneno hayaumbiki kinywani.............."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom