miss chagga yupo humu humu wala hayupo na mshana jr!
ubiri kidogo atakuja mi mwenyewe nimemmiss...hata masai dada naye siku hizi kaadimika!
ubiri kidogo atakuja mi mwenyewe nimemmiss...hata masai dada naye siku hizi kaadimika!
umeona enh nisubirie twende woteMnakaz ngoja npite.
Wazap groups zinapoteza watu..!!
Na wewe unataka ku enjoy nao kwenye Ban zone eeeh!!
how mkuu
Coz huko wazap watu wana enjoy zaidi. Hujasikia hayo magroup yaliyoanzishwa huko mkuu.
Why not join them?
Naona kama vile tunarandana.