Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,441
- 25,582
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako...
Huyu sio mlaji, achelewe chelewe kama hajaletewa kadi ya mchango iliyoandikwa kwa kuanzia na neno Kaka......akikuamkia,na wewe muitikie,kwani kuna ubaya gani?mjibu marahaba mtot mzuri hujambo?,flirt nae taratibu uone muelekeo wake.watu wengine kwenye ndoa wanawaamkia waume zao,sembuse wewe?
Utafanya kazi ukiwa na minyege kibao mkuu, si ndiyo mwanzom wa kuharibu kazi za watuAcha uzinzi wewe fany kazi.
Achana naye. Tafuta rika lako au mwanamke mwingine eneo lingine kabisa la sivyo utaumia sanaaa kaka usije sahau. Usilogwe kumtamkia ya moyoni mwako utajuta atakunatia mpaka ujute mwishoe utajinyongaa.
Tungepata wataalam wengine kama wewe wenye uwezo wa kueleza mambo kwa mpangilio kwa namna hii kwenye kuboresha kilimo chetu tungekuwa mbali sana....
akikuamkia,na wewe muitikie,kwani kuna ubaya gani?mjibu marahaba mtot mzuri hujambo?,flirt nae taratibu uone muelekeo wake.watu wengine kwenye ndoa wanawaamkia waume zao,sembuse wewe?
Utafanya kazi ukiwa na minyege kibao mkuu, si ndiyo mwanzom wa kuharibu kazi za watu
Tungepata wataalam wengine kama wewe wenye uwezo wa kueleza mambo kwa mpangilio kwa namna hii kwenye kuboresha kilimo chetu tungekuwa mbali sana....
Wapo mbona?
Pita jukwaa la wajasiriamali.