Where is YNIM?!

Siweiz kuwa karibu na walevi wa matapu tapu yeye bora azime.....mimi nina heshma zangu na hekalu la bwana halinyweshwi matapu tapu yasiyopimwa......

...mtu wa karibu NN nae anamkimbia akilewa...unafahamu ile pombe ukinywa sharti ufunge suruali chini na kamba....

hahaha yeah that is what i heard kuwa watu wanaokunyw agongo lazima wafunge suruali chini...

No unamsingizia cupcake sijawahi kumuona au sikia akiongea na YNIM..Hata siku moja...wewe inanekana upo karibu naye since you know a lot about his drinkability
 
Kunywa mkojo? eti ni dawa? Kazi kweli kweli. Inabidi niunywe when Unconscious la sivyo haupiti kooni nakwambia bibie

Utapita tuu siku ukiwa taabani utaulilia....trust me ni dawa nzuri sana kuliko dawa zote...imekuwa approved yo know....
 
hhahaha hell no mimi siyo dinah!....me sifundishi ngono!....mimi ni kelly promota i talk and think money only!
promota majalala....fanya importation ya totoz za sheli sheli na za kihabeshi....hata cuzin wako mwanakijiji lazima apige kapelo njano,dingrizi nyekundu na tshirt ya zambarau ajichanganye
 
promota majalala....fanya importation ya totoz za sheli sheli na za kihabeshi....hata cuzin wako mwanakijiji lazima apige kapelo njano,dingrizi nyekundu na tshirt ya zambarau ajichanganye

Unacheza wewe hahahaha!....cuzin wangu lazima aje na crazy color na huwa cuzin wangunever miss on everything i promote yooh! yo will see na huwa kunakuwa na watoto wa nguvu sijui wewe ni kipofu huoni au unataka design za akina betina na zena lakini siyo portabe kama models wa victoria secret...
 
Karaha tupu yaani.Halafu wana tabia nyingine ya kutematema hovyo mate ya matambuu..noma kweli

Namkumbuka bibi mmoja hivi mitaa ya Upanga karibu na Shaaban Robert alikuwa anaitwa Rabiya...ebana huyu bibi alikuwa anatema mate kama Kobra. Halafu ilikuwa ukimuudhi anakuonyesha uchi wake....ni wazi huyu bibi alikuwa amerukwa na akili. Sijui sasa hivi yuko wapi au hata kama bado yuko hai
 
hahahahah!...ila mtu akikutemea mate unaota visunzuwa....
 
Namkumbuka bibi mmoja hivi mitaa ya Upanga karibu na Shaaban Robert alikuwa anaitwa Rabiya...ebana huyu bibi alikuwa anatema mate kama Kobra. Halafu ilikuwa ukimuudhi anakuonyesha uchi wake....ni wazi huyu bibi alikuwa amerukwa na akili. Sijui sasa hivi yuko wapi au hata kama bado yuko hai

wewe nyani ngabu,unaleta vipi mfano wa RABIYA humu-yule mama chizi kabisa-wewe nyani umuogopi mungu
 
umesoma India nini?....mji gani my cousin anasoma huko pia.

hivi wee cupcake una ma cousin wangapi? maana YE cousin wako....kibabu mwanakijiji naye cousin wako, nanihino nae cousin wako....yaani usikute hata mimi kwa wengine huwa unaniita cousin....
 
Kumbe na wewe unamjua Rabiya? Aisee yule bibi noma.....

namjua sana,hiyo mitaa ndiyo hood yangu,guess what,i never even knew where she was staying,tulikuwa tunamkuta sana kwa marsi(yule mama anayeuza soda pale mfaume rd) kweli ukimuuzi anakutemea mate au anafunua nguo na kukuachia radhi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom