Where is YNIM?!

Haha, duh nyie kiboko lol wewe Kelly huyo cupcake wako ameshakufundisha kusonga ugali? alafu kabila ya cupcake wako lazima wewe utakuwa mweupe ama ushatumia mkorogo maana watani wangu hawa kama demu sio mweupe basi sio mzuri.

Taken, nakwenda kuiangalia ijumaa, hivi hii The International itakuwa nzuri?

Hizo ni kasumba za zamani za kabila la cupcake kuwa na mwanamke mweupe ndiy deal isitoshe miye siyo mweupe na wala mkorogo siuthudishi kabisa...of course najua kupika ugali though cupkace mwenyewe hapendi kula ugali so it works for me.....
 
nimeanza kusoma post zote nilipofika kwenye kunywa mikojo ikabidi niruke maana hapa nina tumbawa twakuku natunyofoa nyofoa... so you guys almost cost me my lunch.!

Hivyo vingine mnavyonyweshana mzungumziage pembeni maana wengine na udugu hapa tunaweza kujikuta tunamcharaza mtu kiboko (kwa niaba ya wazee...)

carry on..

Usikonde cuzin!....
 
Hahahaaaaa....lol...wezere a.k.a bambataa a.k.a wowowo a.k.a kilogramu ni muhimu mnoooo...Hapa tupo pamoja mwanawani
ndo manake.....mtoto lazima nyume kutune aisee.....sasa huyu na 48kgs nyuma flaaat wanawezana na cupcake wake.....
 
ndo manake.....mtoto lazima nyume kutune aisee.....sasa huyu na 48kgs nyuma flaaat wanawezana na cupcake wake.....

Duh! yaani umetutusi vibaya sana....nani kakwambia 48lbs with no shape?...hii ni tunaita portable shape easy to carry...body like halle berry(then),height like Beyonce knowles and complexion like alicia keys..lips like angeline jolie...and badunk dunk like Kim kadashian...
 
kaka(ngoja leo nikuiten kaka naona uko kwenye mood nzuri) YNIM hizi habari za kwamba unakunywa chang'aa kama kweli aisee punguza onea huruma hekalu la bwana.......
 
Sijawahi kuwa kwenye mood mbaya hapa JF....ni wewe na watu kama wewe ndio mnafikiria hivyo!! Ninachofanya ni "snarking"(snarky)....nadhani ua unaangalia Countdown ya Keith Olbermann, Daily Show ya Jon Stewarts, Colbert Reports, Real Time (Bill Maher), Rachel Maddox na zile tonight show(s)...!? au kama unasikiliza Rush Limbaugh basi utanielewa vizuri sana mie ni mtu wa dizaini gani.....

Sipo JF kupata u-Mr. Congeniality na sipo hapa kutengeneza maadui...nipo hapa to have fun na kama siasa or whatever basi ukweli ndio usimame! Hakuna kitu kinachoitwa hoja, bali kuna kitu kinaitwa ukweli (kwamba hoja inaweza kuwa na mvuto lakini ni uongo au sio feasible).....wengi wenu mnaamini hoja ndio inashinda, wakati mie naamini ukweli ndio unashinda!! Hapo ndipo penye mgogoro na ndio maana unaniona mimi nipo kama unavyodhania wewe......YNIM ni fiction na nyuma yake kuna chalii mmoja very cool, down to earth , eazy going, loves life e.t.c kinoma! So, don't hate....

Sinywi mipombe isopimwa (mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa high school) na mie sio mlevi......nadhani umefurahi!! LOL

hahahaa preach bother preach!....hahhahaha duuh umeandikiwa nini hii speech at least umeandika kitu kidogo i can understand
 
Hizo ni kasumba za zamani za kabila la cupcake kuwa na mwanamke mweupe ndiy deal isitoshe miye siyo mweupe na wala mkorogo siuthudishi kabisa...of course najua kupika ugali though cupkace mwenyewe hapendi kula ugali so it works for me.....

Haha, eh(na lafudhi ya kisukuma), huyu wako ameshakuwa bitozi ukiona hivyo....

so na wewe ni mambo ya face like Halle body like JLo and hot like Tamale?
 
Seriously uaga hunielewi?? tatizo ni maneno ninayotumia, point ninavyozipanga au vyote?? Inaonekana wewe ni kama Cupcake wako, mpo out of touch na main street....ndio ninyi ua hamchelewi kusema, "ooooh bongo ni tambarare," wakati wengine tunaona ni chengachenga tu (channels hazishiki)!!:D

yeah i am so serious huwa sikuelewi unaandika nini wala sikutanii kabisa...
 
Haha, eh(na lafudhi ya kisukuma), huyu wako ameshakuwa bitozi ukiona hivyo....

so na wewe ni mambo ya face like Halle body like JLo and hot like Tamale?

No bado hajawa bitoz maana bado ana mila na destori za kwako...ila tuu hapendi kula ugali toka utotoni...
 
Kuna watu walikuwa wananibishia jana tena mmojawapo NN,Yo yo na balantata i think kuwa urine siyo dawa...ok i found this article today from WASHINGTON: A study has identified a hormone from human urine, a xanthurenic-acid derivative, which might help safely flush sodium out of the body and could be harnessed to develop more effective and safer treatments for high blood pressure, or hypertension...

so if you happen to have blood pressure or hypertension drink ur own urine utakusaidia sana tuu...
 
arooooo...kwa hiyo leo nimekuwa NN? sio cupcake tena..?
 
Back
Top Bottom