Where is Tanzania's Economic Rescue Package?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Habari, ukiangalia Bunge la Ndungai, ukimuangia Rais Magufuli, ukiangalia chama cha CCM kwa jinsi wanavyolichukulia hili janga la Korona, kweli kwenye akili zao wanafikiria au wanafahamu hali halisi ya uchumi wao nchi?

Wanafahamu sekta ambazo zimekufa kabisa? I am sure wanalijua hili. Kilichonishangaza kabisa ni kuwa sekta ya utalii ilikuwa kabisa to zero from February-March. Na ndio inayoliingizia pato kubwa la taifa. Suprisingly, kimeanzishwa kikosi kazi cha kukusanya kodi kutoka sekta ya utalii. Kikosi kazi kimepewa 65mil (imagine).
When I see this I can say there is no life.

Serikali haijafuatilia kuwa wananchi wake ambao wanafanya kwenye sekta binafsi ambao kazi zao zimefungwa wana-survive vipi? No body care!

Minister aka tweet kuwa hili janga la korona ni kitu cha binafsi lzima u fight mwenyewe mwenyewe. Nikasema ok well noted:

Kiufupi I interested to know how hawa viongozi wetu wanafikiria nini, kwa sababu ni maajabu haya kabisa. Ni kama wametoka sayati nyingine. Na sio kwamba hawana akili. Wapo vizuri darasani.

In reality kuna impact kubwa kwenye uchumi, ni jukumu la serikali ku-act.
 
Watakuambia sisi hatuigi mabeberu na mawazo ya upinzani ni mufilisi. Labda akiuliza Mbatia watamuelewa sisi wengine ni vibaraka.
 
Back
Top Bottom