Where is general Kagame? President of Rwanda (Republic)

Where is general Kagame? President of Rwanda (Republic)

mng'ato kuhusu huyo kamanda aliyepambana na M23 labda niseme kitu kimoja kwanini anaweza kuuawa na serikali.

Ifahamike rebels wa mashariki ya Congo wana faida wakiwepo kuliko wakimalizwa, sababu wakati wa vita wana act kama buffer hasa wakivamiwa na Ug, Sudan,Tz au Rwanda.

Kwahiyo kila Rais anayeingia hana nia ya kuwatoa kabisa sababu ataacha upande ule wazi kwa madhambulizi ukizingatia FARDC haina ubavu wa kupambana.

So ukionekana una kimbelembele sana utapotezwa na ndio maana kipindi kile M23 wanavamia goma huko FARDC walikua wana retreat tu bila kuweka lines of defence!!

Siasa za congo ni pasua kichwa

Sawa mkuu Nimekusoma,esp. hapo kwny buffer zone.
 
Fake hiyo itakuwa.
Screenshot_2020-04-26-22-13-48-01.jpg
 
Umesikia tetesi moja inayosema Kim Jong kafa kati ya zaidi ya tetesi kumi zinazosema yuko mahututi lakini unalazimisha hiyo moja ikae kichwani mwako. Ndo maana taarifa zako za uchawi huwa sisomi, kama tetesi zako zote huwa ni uongo itakuaje kuhusu uchawi ambao sijui.
Imekuwaje umesoma hii sasa

Jr[emoji769]
 
mada yoyote itayo mgusa pk hapa jf huwa inaibua mjadala mpana sana.inanipa picha pk anakitu gani cha ziada kwenye mambo yake ya uongozi kuzidi viongozi wengine wa nchi za maziwa makuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule jamaa anaitwa The Bold aliletaga mada ya PK humu baadae nikaona ameishia juu kwa juu,ingawa sababu ya yeye kukatisha ile topic sikuwahi kuielewa/kuiamini
 
Inawezekana account zao hawaandiki wao,ila mtu kama Trump unajua tu huyu ni yeye matamko anayotoa kimizaha na kujibu mashambulizi twitter

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hivi nani anaweza kuandika neno COVFEFE kwny official a/c ya Trump plus upuuzi mwingine anaoandikaga zaidi ya Trump mwenyewe?
 
Kuna yule jamaa anaitwa The Bold aliletaga mada ya PK humu baadae nikaona ameishia juu kwa juu,ingawa sababu ya yeye kukatisha ile topic sikuwahi kuielewa/kuiamini
labda hukufatilia,ila alimaliza mpaka mwisho mbona.
ilifika mpaka episod ya 9 kama ntakuwa sijakosea ila alimaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu naona hapa wanakosa tafakuri rahisi mno
Inakuwaje safari hii muda mrefu sana yuko nje ya nchi halafu hatuoni live events badala yake runawekewa mapicha tuu?
Hivi Kagame ni mtu wa kukaa nje muda mrefu kiasi hiki hasa kipindi hiki cha corona?

Jr[emoji769]
Nje ya nchi gani yupo?
 
Hakuna kitu kama hiki mkuu. The strong man is well and alive.

The death of a lion can never be announced by a goat.

Achana na uzushi wa Mtandaoni.

Chuma kipo imara
Mkuu wasiwasi wangu ni kama kweli hiyo video ni recent na imetolewa na Mamlaka za Rwanda kweli, alichoongea huyo mtoa taarifa na his tone, kwa tunaoelewa hiyo lugha, dalili si njema kabisa!
 
Wewe unaelewa vizuri anacho kiongea huyo Jamaa kwenye video? Hebu andika Kwa Kiswahili ulivyo elewa halafu nikueleweshe vizuri Kwa faida ya wengine wasio elewa lugha hii

Kwa ufupi anasema Rais wa Jamhuri ya Rwanda hayupo Nchi na anaumwa Sana( Alagwaye bhikomeye) na hizo ndo taarifa walizo na ruhusa kuzitoa kwa Sasa! Kama una swali lingine uliza tena!
 
Nimeisoma kwakuwa naweza kukupinga kwa ushahidi. Kwenye uchawi siwezi pinga ingawa siwezi kubali kwakuwa siamini facts zako.
Kujipunguzia maumivu na stress nakushauri sana ukiona post zangu ZIPUUZE tafadhali

Jr[emoji769]
 
Kwa ufupi anasema Rais wa Jamhuri ya Rwanda hayupo Nchi na anaumwa Sana( Alagwaye bhikomeye) na hizo ndo taarifa walizo na ruhusa kuzitoa kwa Sasa! Kama una swali lingine uliza tena!
Na huyo aliyetoa hio taarifa ana cheo gani huko Rwanda?
 
Back
Top Bottom