Where is general Kagame? President of Rwanda (Republic)

Kwa ufupi anasema Rais wa Jamhuri ya Rwanda hayupo Nchi na anaumwa Sana( Alagwaye bhikomeye) na hizo ndo taarifa walizo na ruhusa kuzitoa kwa Sasa! Kama una swali lingine uliza tena!
Hahaha mkuu unadhani Rwanda wanaweza Ku broadcast taarifa nzito kama hiyo Kwa staili hiyo?

And Of all the dignitaries in the government of Rwanda, huyo Jamaa ndio apewe jukumu la kutoa taarifa hiyo? Hahahahaha !! Does this click in Ur mind?

U guy is so funny.
 
Na huyo aliyetoa hio taarifa ana cheo gani huko Rwanda?
Mkuu Mimi sijui ana cheo gani, ndio maana nimeonyesha wasiwasi wangu Kama kweli hiyo video ni ya karibuni na imetolewa na Mamlaka za Rwanda, of which Kama ni taarifa sahihi na imetolewa na Mamlaka, then we can say R.I.P. in advance to the Lengend!
 
Hahaha mkuu unadhani Rwanda wanaweza Ku broadcast taarifa nzito kama hiyo Kwa staili hiyo?

And Of all the dignitaries in the government of Rwanda, huyo Jamaa ndio apewe jukumu la kutoa taarifa hiyo? Hahahahaha !! Does this click in Ur mind?

U guy is so funny.
Ni nani huyu aliyetoa taarifa na ana cheo kipi. Naona yuko kwenye kaofisi kamebana.
 
Mamlaka gani ya Rwanda imetoa hio video mkuu?
 
Nimekumbuka zile siku tatu za sintofahamu TANGANYIKA
Screenshot_20200426-224510.jpg

Jr[emoji769]
 
Hahaha mkuu unadhani Rwanda wanaweza Ku broadcast taarifa nzito kama hiyo Kwa staili hiyo?

And Of all the dignitaries in the government of Rwanda, huyo Jamaa ndio apewe jukumu la kutoa taarifa hiyo? Hahahahaha !! Does this click in Ur mind?

U guy is so funny.
Mkuu soma post yangu uielewe! I said, kama ni kweli taarifa hiyo ni sahihi na imetolewa na Mamlaka. Jaribu kuelewa basi Buda! Naona unahamisha goli baada ya kigundua nakielewa kinyarwanda!
 
Ni nani huyu aliyetoa taarifa na ana cheo kipi. Naona yuko kwenye kaofisi kamebana.

Hapa bongo mpk Zitto Kabwe alipost kwny twitter yake kwamba mzee baba wa chattle amevuta kipindi kile cha uvumi huo ukienea kwa kasi.

Hapo ndipo nilijua kweli FAKE NEWS zina nguvu mpk mbunge wahuni wamemuingiza chaka bovu.
 
Na kuna mtu humu kwenye uzi huu alikuwa anakubali kabisa kwenye comments zake kila thread. Mimi habari ambayo huna ushahidi wala sio origin ya source sikuelewi. Uje na either nafanya kazi hospitali flani na flani muda huu kafia hapa, au uje na kulingana na chanzo flani cha uhakika flani kafa. Sio ile "nimesikia..."
 
Naona THE TERMINATOR amefufuka yuko anaongea na waandishi wa habari.
 
Naona kajitokeza rasmi ila aliponichosha ana justify kwanini wanaingia DRC!! Kwamba wanaendaga kupambana na waasi!!

Then anadai wale wanyarwanda walio Congo sio wakimbizi bali FDLR yaani Interehamwe bila kujali jinsia wala umri!!

Nachojiuliza mbona wao walipokua waasi kule Uganda walitaka international community iwatreat kama wakimbizi wa kinyarwanda ila wanataka hawa wahutu eti wasiitwe wakimbizi bali WAASI!!

Alipomaliza hio point nikaacha kusikiliza, hyu jamaa ni zaidi ya mnyama utadhani ataishi milele
 
Back
Top Bottom