NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,078
mada yoyote itayo mgusa pk hapa jf huwa inaibua mjadala mpana sana.inanipa picha pk anakitu gani cha ziada kwenye mambo yake ya uongozi kuzidi viongozi wengine wa nchi za maziwa makuu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app