Where is general Kagame? President of Rwanda (Republic)

Where is general Kagame? President of Rwanda (Republic)

'When last seen in public, he was entertaining visiting foreign dignitaries. He hosted Sahle-Work Zewde, President of the Federal Democratic Republic of Ethiopia, on March 16, 2020; Kagame received Sameh Shoukry, Minister of Foreign Affairs of Egypt on March 19, 2020.'

Hio part hapo juu khs last seen in public si ya kweli.

Tarehe 07/04 kwny kumbukumbu ya mauaji ya kimbari alikuwepo na mkewe.

Tarehe 12/04 alitembelea Covid-19 Command Post.

Ingia youtube huko kuna video zake.

So maana yake habari inaangukia kwny FAKE NEWS.

View attachment 1430948View attachment 1430949
Those are fake news from haters,achana nao. Jamaa yuko busy, ana chapa kazi eti haonekani ulijua ka kimbilia kijijini? Huyu ni fighter.
 
Attachments

  • IMG_20200425_072506.png
    IMG_20200425_072506.png
    102.8 KB · Views: 9
  • euiuk3lxgaeibvz-dd362.jpg
    euiuk3lxgaeibvz-dd362.jpg
    46.2 KB · Views: 14
Those are fake news from haters,achana nao. Jamaa yuko busy, ana chapa kazi eti haonekani ulijua ka kimbilia kijijini? Huyu ni fighter.
"Mbele ya kifo hautambi" by Remmy Ongala
 
Kagame hawezi kufa kizembe namna mnavyo taka kutuaminisha nyie wajuba...

Hadi kwenye group la Telegram namwona alikuwa recently
Hahahhaa ila mkuu unamkumbuka Alexander the great, pamoja na kuwa komandoo hadi kuchapa mataifa yote makubwa ila alikufa kwa homa tu.

Hata Suleiman II wa ottoman empire pamoja na kuitandika Asia na Ulaya ila alikufa pia kwa homa tu akiwa katika kilele cha utawala wake!!

Kifo huwa hakiangalii ukubwa wa mtu, hta mbu tu anaweza kukupumzisha
 
Mkuu shukrani kwa tag yako

Kagame obvious yupo salama tu ila mara nyingi madikteta nyakati kama hizi wanajificha kwa nia njema kabisa sababu adui zako wanaweza tumia mgongo wa corona kukutafutia kirusi wakurushie so maybe ule uoga unawafanya wajifiche kwa muda mpaka hali itengemae.

Kumbuka Burundi DRC na Uganda hawapatani kivilee so lazima nyakati za hatari awe makini kuepuka counter attack ya maadui zake.

Nawaza tu!

Cc mtu chake Lucas Mobutu mtupe nyepesi nyepesi
 
DRC na PK wana ugomvi gani kipindi hiki?
 
Tetesi ya uwongo,jana tu yupo Twitter amepost yupo na Trump

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hajaonana na Trump ila anadai kapiga conference call.... Ila page ya Trump inaonyesha aliongea na Waziri mkuu wa Ethiopia na baadae maaskofu wa Kanisa sijaona ya kagame.

Kingine account za twitter hawaandiki wahusika wenyewe bali inakua tu moderated na press officers wake maana Rais ni taasisi sio kagame. So pengine ni PR stunt!!

Siamini amekufa wala anaumwa ila nilitaka tu kupanua mjadala
 
DRC na PK wana ugomvi gani kipindi hiki?
Mkuu hyu Fatshi inaonekana ametumbua sana maafisa wa usalama waliokua loyal kwa kabila. Kiufupi vigogo wote wa TISS yao etiher wanatumbuliwa au wanafikwa na umauti!!

Hata mkuu wa counter intelligence ni majuzi tu kafariki katika mazingira ya ajabu. Naona jamaa ameanza kufuta mapandikizi wote taratibu kabisa so kagame hawezi cheka naye at least kwa nyuma ya pazia.
 
Wacongo hao hao wanalalamika kwamba hao wanaouwawa kuna mkono wa PK maana kuna mmoja ambae ameuwawa hapo majuzi alikuaga ftontline kuwatokomeza M23 enzi hizo.

Hakuna Kipindi PK ana enjoy kua na raha na Congo kama kipindi hiki cha Felix,mpk alienda huko Congo kwny mazishi ya dingi ake tshisekedi wkt kukanyaga Congo ilkua ni impossible,mkuu wa majeshi ya Rwanda alishaenda Congo kuonana na Felix,RDF wako huko Congo porini kwa ruhusa ya Felix wakifanya joint operations na FARDC na mambo mengine.

Inshort PK na Felix ni washkaji kipindi hiki kuliko wkt wowote mpk wapinzani na Ma-askofu wa RC huko Congo wanapiga mayowe balaa.
 
Mkuu shukrani kwa tag yako

Kagame obvious yupo salama tu ila mara nyingi madikteta nyakati kama hizi wanajificha kwa nia njema kabisa sababu adui zako wanaweza tumia mgongo wa corona kukutafutia kirusi wakurushie so maybe ule uoga unawafanya wajifiche kwa muda mpaka hali itengemae.

Kumbuka Burundi DRC na Uganda hawapatani kivilee so lazima nyakati za hatari awe makini kuepuka counter attack ya maadui zake.

Nawaza tu!

Cc mtu chake Lucas Mobutu mtupe nyepesi nyepesi
Bora yeye kazi zake zina tambulika,anacho kifanya kinaonekana kimataifa.
 
Attachments

  • IMG_20200425_072506.png
    IMG_20200425_072506.png
    102.8 KB · Views: 11
  • euiulfoxgaikgub-1a091.jpg
    euiulfoxgaikgub-1a091.jpg
    49 KB · Views: 11
  • 20200426_161150.png
    20200426_161150.png
    124.9 KB · Views: 11
  • IMG_20200426_160212.jpg
    IMG_20200426_160212.jpg
    84.8 KB · Views: 9
  • IMG_20200426_160146.jpg
    IMG_20200426_160146.jpg
    92 KB · Views: 8
  • IMG_20200426_160202.jpg
    IMG_20200426_160202.jpg
    112.8 KB · Views: 11
  • 20200426_161114.png
    20200426_161114.png
    100.3 KB · Views: 13
Wacongo hao hao wanalalamika kwamba hao wanaouwawa kuna mkono wa PK maana kuna mmoja ambae ameuwawa hapo majuzi alikuaga ftontline kuwatokomeza M23 enzi hizo.

Hakuna Kipindi PK ana enjoy kua na raha na Congo kama kipindi hiki cha Felix,mpk alienda huko Congo kwny mazishi ya dingi ake tshisekedi wkt kukanyaga Congo ilkua ni impossible,mkuu wa majeshi ya Rwanda alishaenda Congo kuonana na Felix,RDF wako huko Congo porini kwa ruhusa ya Felix wakifanya joint operations na FARDC na mambo mengine.

Inshort PK na Felix ni washkaji kipindi hiki kuliko wkt wowote mpk wapinzani na Ma-askofu wa RC huko Congo wanapiga mayowe balaa.
Mkuu twafahamu kuwa Fatshi kaingia kwa mgongo wa kabila na PK lakini bado haiwezi badili ukweli kuwa Fatshi kapunguza mapandikizi wengi sana wa awamu iliopita whether kagame amewaua au lah it's a positive note kwa Fatshi na DRC.

Kuwa na rafiki DRC haipunguzi ukweli kwamba PK ana maadui DRC, hta kagame kapambana miaka yote babake Felix asiwe Rais so sio ushkaji kma unavyodai bali ni maslahi tu yamewakutanisha.

Kabila mkubwa aliingizwa na PK ila mdogo mdogo aliwapunguza mapandikizi so kwangu mmi kwa hili dogo nimpongeze Fatshi maana sioni wapi kagame anafaidika kwa vifo hivi vya wazee wa kitengo.

Anyway muda utaamua mkuu
 
mng'ato kuhusu huyo kamanda aliyepambana na M23 labda niseme kitu kimoja kwanini anaweza kuuawa na serikali.

Ifahamike rebels wa mashariki ya Congo wana faida wakiwepo kuliko wakimalizwa, sababu wakati wa vita wana act kama buffer hasa wakivamiwa na Ug, Sudan,Tz au Rwanda.

Kwahiyo kila Rais anayeingia hana nia ya kuwatoa kabisa sababu ataacha upande ule wazi kwa madhambulizi ukizingatia FARDC haina ubavu wa kupambana.

So ukionekana una kimbelembele sana utapotezwa na ndio maana kipindi kile M23 wanavamia goma huko FARDC walikua wana retreat tu bila kuweka lines of defence!!

Siasa za congo ni pasua kichwa
 
Bora yeye kazi zake zina tambulika,anacho kifanya kinaonekana kimataifa.
Mkuu tafuta comments zangu zote JF hamna siku sija credit uwezo mkubwa wa kagame kwenye kuongoza na kuleta maendeleo.

Ila lazima tukubali ana maadui wengi kutokana na aina ya utawala wake. Gadaffi alifanya zaidi ya haya ila alipinduliwa so sometimes maendeleo sio guarantee ya kupendwa
 
Back
Top Bottom