fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 194
wameloweka
Am just curious...............
1. Wanajipanga??
2. Wanapangana?
3.Wanashangaa?
Coz kuna habari ya sintofahamu, makamu wa kwanza wa rais Zenj, ambaye ni katibu mkuu inasemekana anaskip vikao vya chama!!!! Mtatiro naye simuoni akiitisha press conf,,prof wa Uchumi sijui kasafiri??? Where is CUF??
Mwanamke akishaolewa huwa anakuwa chini ya mumewe, kwa hiyo nyie ni akina nani mnayemuulizia mke wa mtu!
Sasa hivi ameshaungana na Mumewe ccm wamekuwa mwili mmoja, kwa hiyo anachozungumza ccm ndicho hicho hicho cha cuf.
CUF wamemeoa CCM Zanzibar, Wakamoa Chadema Bara (bungeni) japo ndo hii ilikuwa ya lazima..
Sasa CUF wana wake wawili wako bize sana wanawahudumia wake zake (chadema bara na CCM visiwani)
Is dead. Sasa hivi wanapanga taratibu za mazishi.
Am just curious...............
Where is CUF??
wanajipanga na kueka mikakati mipya kwa upande wa znz kwa ajili ya kuchukua nchi rasmi ktk uchaguzi ujao baada ya kuwa hatua nzuri wamefika ya kuwemo ktk serikali..
Na wanajipanga na kueka mikakati mipya kwa upande wa Tanganyika baada ya kugundua kuwa kura zao nyingi zimeibiwa na chadema na ccm ktk uchaguzi uliopita,walifanyiwa rafu mbaya na chadema na ccm,na wamekamata ushahidi wa uhakika kabisa,sasa wanaangalia ktk kutenegeneza Muungano wa ukweli wa vyama vya upinzani ili kuing'oa ccm bara ama angalau kuchukua viti kwa asilimia 50 kwa 50 ili zipatikane nguvu nyingi za kuweza kuwaondoa hawa mafisadi wa ccm... \
KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUBWA