Where is CUF?

Am just curious...............

1. Wanajipanga??
2. Wanapangana?
3.Wanashangaa?

Coz kuna habari ya sintofahamu, makamu wa kwanza wa rais Zenj, ambaye ni katibu mkuu inasemekana anaskip vikao vya chama!!!! Mtatiro naye simuoni akiitisha press conf,,prof wa Uchumi sijui kasafiri??? Where is CUF??


CUF ipo CCM.
 
washaolewa na CCM gamba unategemea nin ndugu yangu, wamepatiwa penshen wanakula ikiisha sijui wataenda wap.
 
Umesahau kwamba walipewa kazi na CCM ya kuibomoa CHADEMA ila washikandwa so kuna jipya tena la wao kulifanya? Wageuze hicho chama chao kiwe cha kulelea watoto yatima.
 
wako makwapani mwa CCM wamekula roba!

au

Watakuwa wanavua Magamba! Teh!
 
Tangia lini waliofunga ndoa jana wakaonekana kitaani,hamjui CUF ilishaolewa na CCM!?ni wajawazito sasa miezi miwili
 
Back
Top Bottom