When You Kiss Me

ha ha ha Bacha, hio sig ningekua nimebadilisha, nina sig inahusiana na
Budget but inanigomea kua it is too big... sijui hapa ya CPU au Mbu inakuwaje...

Mimi pia nawapenda saaaaaaaana! Nilitaka kuumwa these few weeks...lol..
kwa hiyo hii hatari inaninyemelea na mimi sio?
 


Bacha mimi ni mwanamke wa Kiafrika asilia, wanawake ambao tumefundwa kua anything
can happen but that does not make me nichukue mtu mwenye madhaifu mapema labda kama
lasolvika for napenda saana tena mno, am a one man woman... sitataka niwe unfaithful..
ikitokea kua kapata matatizo... nitavumilia maana kuna ya muhimu zaidi mnapokua wenza..
Maongezi yaangu hayo yasikufanye ufikiri i can not live withou Sex... but i bliv ni mhimu..

Nakimbia rasmi uzi huu... Kwaheri Gaga...
 
Mmm!hivi ni kweli katika maisha yetu haya halisi,
huwa tunafundishana haya mambo au tunajikuta,
kwamba kila mtu huwa anayafanya kwa jinsi anavyojua yeye,
na tunaona ni sawa!!!!!
To be honest mie nilimfundisha mume wangu kukiss navyopenda mimi, mambo yote yalikuwa muswano ila kiss ilikuwa haijakaa vizuri lakini sio kwa maneno, kwa vitendo, akitaka kunikiss kivyake napeleka kichwa pembeni then namkiss navotaka mpaka aka adopt bila maneno wala kukereka
 
Ni kweli Gaga,kuna watu wengine lol..
utajuta, anakujazia mimate tu mdomoni huku kakunja sura kweli.........................
kama Bishanga Abashaija.........lol......wapi chuo ya kupiga kiss nika enroll?
 
ha ha ha ... a person who controls a kiss and makes it memorable to me is 70% a mans effort!

sijakataa msimamo wako hapo,
ila najaribu kutafakari hiyo njia utakayotumia mpaka
kumpata huyo atakaekuwa ametimiza hivo vigezi lol...

Would it be a single toss or?........................
 
kama Bishanga Abashaija.........lol......wapi chuo ya kupiga kiss nika enroll?

hebu mwone Asha, anaweza kukujuza zaidi kwenye hili!!!!!
Labda kuna njia nyepesi, ukiangalia tu ile morphology ya lips,
waweza jua hapa unaweza pata kiss nzuri au hapana..................................
ha ha ah ahaaaaaaaaaaaa.....................
 

good experience ...lol......
 
msalie Mtume Asha!
 
Unaenda wapi mtoto? embu tulia hapa mpaka bishanga na bacha wajue kukiss
 
Gaga na Asha..........je mna swali la nyongeza? Mtambo wa chuma umeongea hapo!
 

Safi sana hio, unamtengeneza hawe unavyotaka na yeye anakutengeneza jinsi anavyotaka; maisha yanaendelea.
 
 
Asha leo umelikoroga,unalo!
 
Gaga umenifurahisha sana, huu wimbo ndugu yangu ucupime hapa shania twain alidhihirisha yeye ni fundi!
 
Somo la usafi wa kinywa linahusu sana kwenye hii post.
Wengi wanasahau kupiga ulimi mswaki unakuwa na kauvundo eeeee, hahahahahahahahaha
 
Gaga na Asha..........je mna swali la nyongeza? Mtambo wa chuma umeongea hapo!
Wewe unajua kukiss au ndio ulimi nje kama nyoka hahahahahahaaa joke bishanga
 
Unaenda wapi mtoto? embu tulia hapa mpaka bishanga na bacha wajue kukiss
Gaga huwezi amini kuna mtu kaniPM anataka anifundishe kunyamnyam,ngoja ni log off ,nikishahitimu nitaleta ripoti kwenye uzi huu huu,byeeeeeeeeeeeeeeeee na ninakutakia mapenzi mema na mwenza wako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…