Mpwa sio Bembea la Tanga hili?Kama kawa Kama Dawa
View attachment 352721
Anayehujumu nani sasa?, angalia picha basi la mkoa linamalizia kuvuka Na mwendokasi analeta gari yake mpaka zigusane!, amesbindwaje kufunga breki Ili kuepusha ajali?Zingine ni hujuma. Haiwezekani hadi leo tusielewe tu. Ni kama tulivyoua mashirika ya usafirishaji ili tununue malori yetu
Hahaha adhabu ya namna hii ingepitishwa watu wangekuwa na adabuHiyo sio adhabu huyo kapumzishwa, alitakiwa miezi mitatu segerea na viboko saba kuingia saba kutoka akawaonyeshe kijiweni
Na yakigongana je?Mwendo kasi ni kama treni. kamwe huwa haigongwi. Inagongwa tu.
Hii adhabu hapana![]()
Tahadhari ukikamatwa una endesha kwenye barabara za mabasi ya kwenda kasi, siku nzima una kaa nje ya kituo cha police umeshika hilo bango
Sioni point, je kama kachanganya wazazi?Waafrika bhana jamaa mweusi kama ugolo lkn anajita Mshirazi, kwa wasiojua Washirazi ni watu ktk Irani kama Rostam Aziz waliohamia Zanzibar zamani sana, sasa wewe niga na Uirani wapi na wapi?? Hivi huyo jamaa akienda irani akawaambia wa Irani kwamba yeye anatoka Irani watamuonaje?? hivi ni nani alituloga jamani??!
Sisi Waafrika kweli ni ngozi ya tako yaani ili mradi aukane Uafrika wake tu atasema chochote kile ndiyo ya akina maalimu Seif mtu mweusi kama ugolo lkn kutwa kujiita Mwarabu wakati akienda Saudi watamwita (Seif) abdi maana yake mtumwa!
![]()
Mkuu hahaha inakera mpaka inapitiliza......halafu choka mbayaWaafrika bhana jamaa mweusi kama ugolo lkn anajita Mshirazi, kwa wasiojua Washirazi ni watu ktk Irani kama Rostam Aziz waliohamia Zanzibar zamani sana, sasa wewe niga na Uirani wapi na wapi?? Hivi huyo jamaa akienda irani akawaambia wa Irani kwamba yeye anatoka Irani watamuonaje?? hivi ni nani alituloga jamani??!
Sisi Waafrika kweli ni ngozi ya tako yaani ili mradi aukane Uafrika wake tu atasema chochote kile ndiyo ya akina maalimu Seif mtu mweusi kama ugolo lkn kutwa kujiita Mwarabu wakati akienda Saudi watamwita (Seif) abdi maana yake mtumwa!
![]()
Hii point mkuuAnayehujumu nani sasa?, angalia picha basi la mkoa linamalizia kuvuka Na mwendokasi analeta gari yake mpaka zigusane!, amesbindwaje kufunga breki Ili kuepusha ajali?
Huoni kama hilo la mkoa lilikuwa linamaliza kukatiza, kwanini mwendo kasi hakusimama?Mwendo kasi ni kama treni. kamwe huwa haigongwi. Inagongwa tu.
Sioni point, je kama kachanganya wazazi?
Kimbinyiko hio Mpwa HahahaahhahaMpwa sio Bembea la Tanga hili?
Ninachokiona ni Mabasi yale ya Tata au Eicher kuingia barabarani ili ku replace hayo maboksi, japo hayo MA Eicher nayo MmmmghhhHaya mabasi yamekatiwa insurance ya aina gani? Kufikia mwisho wa mwaka barabara za mwendo kasi zitapangiwa matumizi mengine.
Mkuu anadhani madereva wetu wanaheshimu hizi alama za usalama Barabarani? Hapa ni vurugu tuKwani hizo taa za brt hazijawa synchronized na za kawaida? Ikiwaka kijan kwa brt kwa kawaida iwake nyekundu and vice versa??