Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 58,888
- 94,624
Kama kawa Kama Dawa
Kama kawa Kama Dawa
View attachment 352721
Unajua sheria au umeamua ku comment tu?Kwani hizi gari huwa hazina breki ? Hapo traffic case huyo mwendo kasi ndio ana makosa kwa kumgonga huyo basi la mkoa
Nimeamua ku comment tu.Unajua sheria au umeamua ku comment tu?
Mwendo kasi ni kama treni. kamwe huwa haigongwi. Inagongwa tu.Kwani hizi gari huwa hazina breki ? Hapo traffic case huyo mwendo kasi ndio ana makosa kwa kumgonga huyo basi la mkoa
Watumie ustaarabu mkuu zitaisha mapema sana kwa hizi ajali ambazo madereva wa mwendo kasi wanaweza kuziepuka.Treni tunajua breki zake ni za mbali lakini hiyo gari inaweza kusimama wakati wowote.Mwendo kasi ni kama treni. kamwe huwa haigongwi. Inagongwa tu.
Sorry mkuu hapa umeandika nini?Mwendo kasi ni kama treni. kamwe huwa haigongwi. Inagongwa tu.
Sijuwi kama watanzania tuna record nzuri ya utunzaji, jalafu bado mnataka bajeti ya maendeleo iongezwe wakati hela nyingi uwekezwa kwenye ukarabati(maintenance) badala ya kuwekeza kwenye new project kwa kuwa uharibifu umekithiri watanzania tubadilikeKama kawa Kama Dawa
View attachment 352721
Mwendo kasi ni kama treni. kamwe huwa haigongwi. Inagongwa tu.
Madereva wanadhani ikiwaka taa ya rangi ya kijani maana yake ni kuwa nenda bila kuangalia usalama ulichosema ni sawa UZEMBE wa hali ya juu.Ajali hiyo ni UZEMBE mtupu... "jeuri ya madereva"
Mpaka leo la 27 HiloKama kawa Kama Dawa
View attachment 352721
Hiyo sio adhabu huyo kapumzishwa, alitakiwa miezi mitatu segerea na viboko saba kuingia saba kutoka akawaonyeshe kijiweni![]()
Tahadhari ukikamatwa una endesha kwenye barabara za mabasi ya kwenda kasi, siku nzima una kaa nje ya kituo cha police umeshika hilo bango
Sasa bewki zimewekewa za nini..au ni uremboMwendo kasi ni kama treni. kamwe huwa haigongwi. Inagongwa tu.
![]()
Tahadhari ukikamatwa una endesha kwenye barabara za mabasi ya kwenda kasi, siku nzima una kaa nje ya kituo cha police umeshika hilo bango