When Karma comes calling, she stings like a bitch

When Karma comes calling, she stings like a bitch

ujumbe mzuri sana unahudhunisha sijui kwanini wanaume hawaridhikagi utamfanyia yote lakini mwisho wa siku atakuacha katika wakati mgumu cha kushangaza wanachepuka na makahaba
 
ujumbe mzuri sana unahudhunisha sijui kwanini wanaume hawaridhikagi utamfanyia yote lakini mwisho wa siku atakuacha katika wakati mgumu cha kushangaza wanachepuka na makahaba

Uki specify hivyo unatuonea sie wanaume, "baadhi yetu binadamu haturidhiki hata tufanyiwe kitu gani"
miss, usitake kuniambia matukio haya wahanga ni wanawake tu.
 
I met her in 2003 at Bwawani Hotel in Zanzibar. She was dancing with the man I waved at and she came over demanding to be introduced. I was her bro-in-law's girlfriend and she gave me a hug and invited me to her home for lunch the following weekend.

My boyfriend came with me. I was blushing the entire time. I am not good with women. I have never been. I just sat there taking small bites of my food and wringing my fingers each time our eyes met. We exchanged pleasantries, some small talk and finally it was time for me to leave. She had a four year old son who immediately clicked with me and we became friends.

She was a good woman. A great wife. She taught me alot. She did things for her husband, that I could only dream of doing for a man. I could try for a demi god but not a man. She always came back home at 3 p.m showered and proceeded to cook for her husband. The meals were always several course meals. The beers were cold, the juice too and she also froze some ice cubes just in case her husband preferred whiskey.

She then adorned herself in jewellery and make up. Smelling good enough to eat. And she waited eagerly for her husband who she received with hugs and a beautiful smile.

FAST FORWARD

Hell broke lose. Disaster struck. Husband kicked her out and he went and married a prostitute having paid three million shillings as brideprice. He left his wife and kids and moved in with his new wife. Clara (The first wife)was devastated. She did not know where to begin. She was crazy about her husband! Now he was gone..... She did not see this coming.

Basi, mda ukaenda. Rafiki yangu Clara ikabidi aanze maisha mapya hivyo hivyo kwa ku struggle. Sijui ikawaje hata watoto wake wakawa kama chokoraa. Baba hayupo, Mama kazi ni moja tu. Kulewa na kutembea na kila mtu mpaka wanaosafisha kucha. I was devastated. Nilimchukia shemeji yangu. But fortunately na mimi nilishaingia kwenye ndoa. Nikawachukua wale watoto nikawa naishi nao. Familia ika discuss wakaona watoto wapelekwe boarding but near me nipate kuwaangalia.

Mungu si ahtumani Clara is doing okay. Ana majumba yake, magari na jana ameolewa tena. I am so delighted or her.

Too bad that douche bag shemeji yangu kaambulia maradhi tu. Bi mdogo hakuacha kujiuza na kufanya ufuska kinyume cha maumbile.

Well mother nature is paying back for the evils he did. Too bad for the kids. My poor kids.


Kwa kweli michepuko sio dili. Tubaki njia kuu tusi singizie foleni. Tutafika tu.
Tized, Mr Rocky, EMT, Mentor, Dark City OLESAIDIMU - kokroch, Eiyer Eli79, Ntuzu, gobore -----ing miss you hun, Ndahani... everlenk, Extraordinary, lara1...miss u sugarplum...
Nimeguswa!, haswa ulipoitaja karma!.
Pasco
 
Inafundisha na inahuzunisha pia,Mungu asimamie tu ndoa za wanandoa na awasaidie kuona umuhimu wa kubaki njia kuu na awawezeshe waweze kubaki na kuheshimu na kuzifurahia njia kuu walizopewa na Mungu
 
UFAFANUZI WA ''KARMA'' inaendana kidogo na neno Fate au Destiny

Hili neno lililotoholewa kutoka kwenye madhehebu ya Hindu na Buddha likimaanisha HATIMA aifikiayo mtu kama matunda au matokeo ya matendo yake. Wanaamini kwa kila TENDO mtu ulifanyalo unatengeneza nguvu flani (force) ambayo baadae kuamua hali yako itakavyokuwa kutokana na hayo matendo yako ya sasa. Kama umetenda mema utavuna hivyo kama umetenda mabaya nayo utavuna ulichopanda.

Hio nguvu au hicho kinachoamua hayo matokeo ndio KARMA

cc PLL, Mndengereko @Eli79
Afadhali umeuliza nami leo nitaelewa maana yake. Ama kweli majuto hajawahi kuwa mtoto ni mjukuu. Huyo mbaba anajutaje sasa hivi , wanawake wengi hufanya mengi kwa waume zao Karucee lkn mwisho huambulia hayo . Kweli maisha ya pamoja/ndoa hayana formula kuna wanaume hata uwafanyie nini watakuliza tu na kukuacha njia panda.
 
Last edited by a moderator:
Well....well!!
Pole kwa this 'bad' dude...alikosa....alikosa...ila sio kosa kumwacha mke....kosa kutelekeza familia!!!
It just happened. Just like that. The marriage you have been building with sweat blood and tears ends just like that and you don't see it coming.
 
Hapana chezea
Karma ni kiboko, na mara nyingi huwa hivyo.

Umepatiaje wangu?
Tabia ya paka ni kuwa unaweza kuenda sokoni na ukamletea samaki kisha ukamuwekea kwenye sahani safi ili ale,akija anamchukua samaki na kwenda nae uchochoroni kisha anambwaga chini na kuanza kumla

Hataki visafi kwa kuwa hakuumbwa hivyo

Kuna watu wana tabia kama za paka .............!!!!!!!!

Yes, from my experience.
Hmm! Interesting,we have got to keep our eyes wide open! otherwise,Hell breaks loose....! inafundisha na kuburidisha lol...did you take it from somewhere?
 
My dear Karucee, you are heavenly sent to this family you know!!!

I couldnt blame the Man neither agree to what he has done, There are lot of things behind the scene for this sort of stuffs...as opposed to no common sense common lakini... Hainiingii akilini mtu akiwa kwenye utimamu wake anaweza KUWAACHA wanawe kisa cha mtu mingine katika ukawaida wake. Kuna kitu cha ziada hapo ambacho hatukioni.. Shemeji deseve some love anyway....

I owe you gratitude for what you have done this the family, What goes arround comes arround with hundreds folds. Keep the spirit and God shall INCREASE and MULTIPLY YOU exceedingly according to His riches.

Many Thanks.

Buddy,

I like to believe that even when a man strays, if he is a God fearing one he will do it discreetly. I wil not go ahead to say thet if he were God fearing in the first place he wouldn't stray, but that he will cover his tracks so the wife never gets wind of what he is doing.

In this particular case, if love no longer existed in his heart, then he should have ended the relationship discreetly. Even Mother Nature would have given him some benefit of doubt while paying back.

But you throw away a decade of love down the drain just like that?

Oh you have it coming and it aint gonna be pleasant.
 
Back
Top Bottom