When JF becomes source of information for BBC-It is encouraging!

When JF becomes source of information for BBC-It is encouraging!

Nadhani sasa tukubaliane kwamba JF imekuwa chanzo kikuu cha taarifa tunazipata kabla ya wananchi wengi na vyombo vingi kutangaza au kuandika ,Bravo JF members.mods and owners
 
I have just been reading the BBC coverage of Kanumba's death. I was pleased to see that they used JF's photo in their coverage. See BBC News - Kanumba funeral: Thousands mourn Tanzanian actor
Mkuu Kitila Mkumbo, kiukweli jf inaheshimika sana tuu. Kuna issue niliwahi kuipost humu jf, kesho yake ikashushwa front page ya gazeti fulani "para material" bila kubadili kitu!.

Naamini ni kufuatia hii reputation jf ni very reliable sorce of info kuhusu TZ.

Ukiaminiwa, jiaminishe, as jf members tuna jukumu la kui maitain hii reputation kwa kumaitain truthfulness, objectivity, impartiality na balancing kwenye issues tunazoshusha humu jf.
 
Kama sijakosea zitakuwa zile picha alizoleta Preta JF zilikuwa safi sana!!
 
Nadhani sasa tukubaliane kwamba JF imekuwa chanzo kikuu cha taarifa tunazipata kabla ya wananchi wengi na vyombo vingi kutangaza au kuandika ,Bravo JF members.mods and owners

JF imepunguza sana bill zangu zilizokuwa zinatokana na kutumia vyanzo vingine vya habari. JF Yebaaa !!!
 
unakumbuka ile kesi aliyoleta mtambuzi ... ilisomwa clouds! bila kutaja source.. glad kesho yake walipoendelea walitaja sorce ni wapi na wakamtaja jina!

Tumetoka mbali na Jambo Forums mpaka sasa jamii forums!...

congrats all mods ! na members!! VIVA JF!
 
Magazeti ya udaku ndiyo usiseme! yaani wao ni kukopi habari hapa JF na ku paste kwenye magazeti!
 
They should acknowledge the information they get from JF, though!
 
JF oyeee,pasco habari gani uliyoleta? Au ile ya kunywa chai na lowassa?
 
Ukiaminiwa, jiaminishe, as jf members tuna jukumu la kui maitain hii reputation kwa kumaitain truthfulness, objectivity, impartiality na balancing kwenye issues tunazoshusha humu jf.

hili neno.........
 
The ideas of great thinkers never dies.JF ni media ya wasomi.Najivunia kuwa member wa JF,na nafurahi mada nazo wakilisha zinapo changiwa,iwe negative au positive.Napendelea sana Negative comments maana ndo zinanikomaza in reasoning and argumentation.
 
Dawa yake ni kupiga chata la JF kwenye hizi picha zinazokuwa uploaded via JF. Otherwise waandishi wetu watazidi kuwa wavivu wa kutafuta habari wakitegemea uchambizi wa kina na kuunganisha dot za comments za JF.
 
hata mimi ni mmoja wa wanaoamini sana habari zinazowekwa jf, hata kifo cha kanumba i learned it through JF.

proud to be a member.
 
Nakumbuka pia taarifa tume ya katiba ime break JF mwanzo kabla kufika mainstream press. True JF is cutting edge.
 
Back
Top Bottom