When a woman loves........

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
Try it guys!
Nani amewahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke? Hebu jitokeze useme tukupatie zawadi yako maana mijadala mingi imezidi kuponda mahusiano.Unachotakiwa kufanya ni kutuambia kwa kifupi sana yafuatayo:
1. Aina ya uhusiano ( ndoa, uchumba)
2. Unajuaje au ulijuaje ni penzi la kweli?
3. Na wewe kwa kutambua hilo umemfanyia nini kama alama ya shukrani na upendo wako kwake ili penzi lizidi kustawi?

Ukweli utabaki kwamba hakuna hisia nyingine yeyote tamu aliyotunukiwa mwanadamu inayoshinda hisia ya kupendwa. Tuachane kidogo na yale mahusiano yenye utata ya kupendwa kwa sababu ya mali au kitu tulenge katika yale mahusiano ya penzi la kweli.

Kwa kuonyesha mfano... nawatunuku akina kaka wote walio kwenye mahusiano matamu au waliowahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke wimbo wa R. Kelly - "When A Woman Loves....."
When a woman loves
She, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She took me back
After I broke her heart
About a thousand times
She gave her life to me
With no regrets, she followed me
And she, and she, the girl she raised me
And I'm forever indebted, I'm forever indebted, I'm forever indebted to her cause
When a woman loves
She, she, she loves for real
When a woman loves
She, she, she loves for real
She filled my soul
With the very touch of her hand
She really did

And she's got more, more faith in me than a beach got sand
And I like to tell ha, I like to tell ha, that I'm forever indebted,, that I'm forever indebted, forever indebted
Cause when a woman loves
She, she, she loves for real
Yea, yea
See a woman loves
It would never die young
Even when I'm dead and gone, I'm gonna love her from the sky
Cause she's given me something that no other woman has given me (Whooooo)
When I think about you girl it makes me think
When, when, when, when a woman
When a
Woman
Loves
She loves for real (oh)
When a woman loves, loves, loves
I'm tellin you when she loves
She, she loves for real
Yea, yea, yea
When she loves (When she loves) (6X)
She (When she loves) (3x)
She loves for real

Kina kaka,kina baba na kina babu.....tunawasubiri na zawadi zetu mikononi.....:laugh::laugh:
 
I deeply loved i got hated. i dont blem her i still love her, and wish her all the best, she was and will always be special.
 
I deeply loved i got hated. i dont blem her i still love her, and wish her all the best, she was and will always be special.

Oh Dear! This is soooo romantic....
Im sure she will pass by and see this.... she will come back to you on her knees!
 
Elia,
You look like you still love her don't you?... what if I try to "win her back" for you..will that help?
 
I deeply loved i got hated. i dont blem her i still love her, and wish her all the best, she was and will always be special.
Pole ehhh!Jaribu tena labda atakua amegundua na yeye anakupenda pia!
 
I will be more than happy, That will be the best news ever but i don't think you can!

the situation u faced is similar to mine
dats why in one of my post i said I WILL NEVER FORGET KIJIWE SAMLI BOM BOM
 
Pole ehhh!Jaribu tena labda atakua amegundua na yeye anakupenda pia!

Lizzy, Natamani kupata mwingine atakaye ziba pengo lake, I'm not a fun of this word HOPE. But my wish is to have her back
 
the situation u faced is similar to mine
dats why in one of my post i said I WILL NEVER FORGET KIJIWE SAMLI BOM BOM

At least someone understands how exactly i feel, Mwanzoni una loose weight, appetite na concentration
 
Lizzy, Natamani kupata mwingine atakaye ziba pengo lake, I'm not a fun of this word HOPE. But my wish is to have her back

Well inawezekena she is not the one for you!Cha kushukuru ni kwamba haku kukubalia alafu akunyanyase ndani ya mahusiano kwa mapenzi yako kwake!Ila kama unampenda sana it's worth another try...ukigonga mwamba tena then jitahidi kumsahau japo sio kazi rahisi!Alafu utafute mwingine sio wa KUZIBA NAFASI yake bali wakukufaa kwa sasa!
 
Lizzy, Natamani kupata mwingine atakaye ziba pengo lake, I'm not a fun of this word HOPE. But my wish is to have her back

To me this hope is already gone, coz she got married and she came to realize how deep my love was afta missing what i always did to her and her husband didnt do
 
But, WHEN A WOMAN'S FED UP........................

Sijui kama ina-PAY ku-invest kwenye mapenzi kwa sababu tu When a woman loves, SHE LOVE FOR REAL, real??!!??!!!

So you better BE CAREFUL just because She may not be you angel......

Dahh, R Kelly katoka mbali sana na katumbuiza dunia hii si mchezo.....

Last edited by a moderator:
Try it guys!
Nani amewahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke? Hebu jitokeze useme tukupatie zawadi yako maana mijadala mingi imezidi kuponda mahusiano.Unachotakiwa kufanya ni kutuambia kwa kifupi sana yafuatayo:
1. Aina ya uhusiano ( ndoa, uchumba)
2. Unajuaje au ulijuaje ni penzi la kweli?
3. Na wewe kwa kutambua hilo umemfanyia nini kama alama ya shukrani na upendo wako kwake ili penzi lizidi kustawi?

1.Uchumba
2.Tulifahamiana nikiwa napanga chumba kimoja uswahilini na sina kazi inayoeleweka
3.I decided to take her as my lovely wedded wife.
 
But, WHEN A WOMAN'S FED UP........................

Sijui kama ina-PAY ku-invest kwenye mapenzi kwa sababu tu When a woman loves, SHE LOVE FOR REAL, real??!!??!!!

So you better BE CAREFUL just because She may not be you angel......

Mkuu sidhani kama tutawatendea haki kama hatuto invest kwenye mapenzi wakati mtu unaona kabisa penzi unalopewa kutoka kwa mwanamke wako,kisa unaogopa atakapo badirika.

Kuhusu mwanamke kugeuza kibao baada ya kukupenda inatokana na sisi kushindwa kuwaonesha kwamba tunawajali,kuonesha how much we appreciate mapenzi yao wanayotupa na pia kutowaonesha mapenzi yetu kwao.Badala yake wengi wetu tunachukulia advantage kwamba tunapendwa na kuanza kuwatendea mambo ya ajabu kama kuchelewa nyumbani bila sababu maalum.Hivi vituko tunavyowafanyia baada kuona tunapendwa na kuamini kwamba hatobadirika ndio kuna kipindi inafikia kwamba "a woman is fed up".
 
Try it guys!
Nani amewahi kuguswa na penzi la kweli la mwanamke? Hebu jitokeze useme tukupatie zawadi yako maana mijadala mingi imezidi kuponda mahusiano.Unachotakiwa kufanya ni kutuambia kwa kifupi sana yafuatayo:
1. Aina ya uhusiano ( ndoa, uchumba)
2. Unajuaje au ulijuaje ni penzi la kweli?
3. Na wewe kwa kutambua hilo umemfanyia nini kama alama ya shukrani na upendo wako kwake ili penzi lizidi kustawi?

Ukweli utabaki kwamba hakuna hisia nyingine yeyote tamu aliyotunukiwa mwanadamu inayoshinda hisia ya kupendwa.
1.Ndoa

2 baada ku-date kwa mda mrefu ,mambo yote yalioendelea katika kiindi hicho.

3.Kuonesha mapenzi yako kwake na kumuomba awe mke wangu.
 
naipenda hii thread kwakuwa itaniambia nani ni PM as potential husband na nani nimpotezee......:laugh::laugh:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom