keynessian
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 590
- 423
Hasa watu wa IT...hawana maana hata kidogo
Hahaha mnawaharibia soko engineers lol
Dah, iyo kali aisee!! Haya mambo kweli yapo ila watu wanavumilia.
Kaa nao mbali sana
Hahahahah....bora niolewe na fundi makenika ye akirudi nyumbani magari anayaacha gereji
Hahahahah,Afu pia kuna wAle wengine mambo ya ofisini 24hrs hadi nyumbani Hao pia ni shida