Ningekushauri uje kwanza mwenyewe ufanye utafiti wa soko na biashara yako. Kama hujui utapata wapi fundi na operator, utajuaje wateja walipo? Na kama hujui specs zipi uzinunue kwa matumizi yapi, hapo utasimamiaje biashara yako? Sio kila tunachoona kinafanikiwa ulaya kinawezekana kufanyika tanzania. Wateja wanapenda cheap things, mafundi wanapenda short cuts, wenye nyumba na maeneo ya biashara wanapenda rent kubwa... Hiyo ni changamoto.
DT dobbie, GMC, Garage za kichina wanazo hizo vitu, ukija ukaenda kuongea na mafundi wao utapata mwongozo mzuri.