Wheel algnment ,wheel balance ,tire changer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wheel algnment ,wheel balance ,tire changer

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Richard Nguma, Jan 30, 2012.

 1. R

  Richard Nguma Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu wa nchi , makamanda naombeni kuuliza kuna hizo machine
  Nimetaja hapo juu nataka kuzinunua hapa USA nije nazo home Ar kwa ajili ya bussiness je kuna fundi anaweza anaweza kuzioperete maana zote zinatumia mfumo wa computer, kuna hii machine moja kwa ajili ya oil change inaitwa two post lifts je kuna fundi anaweza kuifunga?kuhusu air compressor ninunue gallon ngapi?air hose size gani?impact range size gani?
   
 2. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ningekushauri uje kwanza mwenyewe ufanye utafiti wa soko na biashara yako. Kama hujui utapata wapi fundi na operator, utajuaje wateja walipo? Na kama hujui specs zipi uzinunue kwa matumizi yapi, hapo utasimamiaje biashara yako? Sio kila tunachoona kinafanikiwa ulaya kinawezekana kufanyika tanzania. Wateja wanapenda cheap things, mafundi wanapenda short cuts, wenye nyumba na maeneo ya biashara wanapenda rent kubwa... Hiyo ni changamoto.
  DT dobbie, GMC, Garage za kichina wanazo hizo vitu, ukija ukaenda kuongea na mafundi wao utapata mwongozo mzuri.
   
 3. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kwanza kwa taarifa yako, Utandawazi umepelekea watu kujua na kujifunza mengi sana wakati mwingine huwezi kuamini kama ukiwa huko kwenue. Please trust me, tuna watu wana computerised machines hapa na zina operate, mfano kuna kampuni ya Michelin ambao wanauza matairi wana vituo vyao vya tyre services na wana technology ya kisasa kabisa na si kituo kimoja ni zaidi ya kimoja hapa mjini na mikoani. Isipokuwa kwa Machine kutoka Marekani, ningeshauri ufanye phisibility study na cost implecation kwa sababu, ni gharama kununua vitu na kuvisafirisha kutoka Marekani kutokana na Mfumo wa Kiuchumi wa Marekani, kwa sasa kuna vitu vingi hata hizo machine mbalimbali zinazotoka China na Mashariki ya Kati. Njoo uangalie Soko, a return Flight ya kuja kusalimia nyumbani na kuangalia Makaburi ya Wazee wakati ukitembelea hizi business centres nilizokwambia na usisahau kutembelea VETA na Institute of Production Innovation pale UDSM uone vitu vyao. Tuko mbali sana kuliko unavyofikiri.
   
 4. R

  Richard Nguma Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...