Edwin AN
Member
- Sep 18, 2016
- 90
- 65
Hahahahaha Noma kweliiiMadem mnavaa earings kwa masikio, mapua, ulimi, kitovu, sijui kwa uso.manecklaces ka mia mbili bangili mikononi handbag nayo ina makorokoro elfu2..sasa itokee ujikwae udondoke unatoa sauti kama kabati la vyombo limedondoka![]()






