supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
nimecheka leooooooooooooo.
dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!. nkipata stresss tena ntakuwa narudi kwenye uzi huu ili nirefresh mind.

nimecheka leooooooooooooo.
dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!. nkipata stresss tena ntakuwa narudi kwenye uzi huu ili nirefresh mind.

Mchungaji kamfuata pedeshee mmoja maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki;
MCHUNGAJI: Kijana, tuko katika harakati za kujenga kanisa, jitafutie nafasi katika ufalme wa mbingu kwa kuchangia ujenzi huu. Na Mungu atakubariki zaidi
PEDESHE: Samahani Mchungaji haitakuwa vizuri mimi kuchangia kanisa, fedha zangu ni haramu, huwa nazipata kwa utapeli na kuuza madawa ya kulevya.
MCHUNGAJI: Yote ni heri, pesa yako tutatumia kwa kujenga eneo la choo!!
![]()

Kuna watu wawili walienda railway station wakakuta train ndio inaondoka wakaanza kuikimbiza mmoja akafankiwa kuipata "alieachwa akawa anacheka", watu wakamuliza unacheka nini wakati umeachwa? akasema yule aliepanda alikuwa ananisindikiza mimi"
![]()







Hahaaaaa..!!Ndani ya daladala,
DEMU: samahani kaka naomba unipakate,
JAMAA: usijali njoo tu,
DEMU: haya,
JAMAA: inaonekana ww ni sekretari..?,
DEMU: ndio kwa nn,
JAMAA: vidole vyako laini kweli,
DEMU: na ww ni fundi magari?
JAMAA: ndio, kwa nini?
DEMU: hapa nilipokaa naona nainuliwa na kitu kama jeki!!![]()
Yalaaaaahh .Jamaa mmoja wakati amemsimamisha dada mmoja na wakati akimtongoza bahati mbaya/nzuri naniliu yeke ndani ya zipu si ikasimama.
Jamaa alichoamua baada ya
hapo ni kuitoa nje na kuiambia "haya tongoza wewe mwenyewe na haraka zako"![]()

