Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????



Mkuu nimecheka mpaka mbavu zinauma! Imebidi nisubscribe kabisa huu Uzi.. Tuwekee vingine mkuu daaahh hahahahhah


Angalau ana mwandiko mzuri sana!

Kiddy :- hello
Dem:- hello
Kiddy :- hivi jina lako nani
Dem:- am miss precious
A. K. A dope girl
Kiddy :-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care
Dem:-no no baby usipige
Ah ah Hapana baby mi naitwa
laigusiasi idigisi mwakyonda
 
Nimetoka interview hapa ya job flani
Wameniuliza "so how far did you go with your education?", nikawaambia "I didn't go very far because our school was just behind our house"
wameniambia ningojee watanipigia!
 
TEMBEA UONE
Dada:
jaman naomben ushaur Nina mimba ya miez 6 but Mme wang ananitaka kila siku tufanya mapenzi haiwezi kusababisha tatizo kwa mtoto??_
Ushauri...
haiwezi kusababisha tatizo labda kama mtoto ni Wakike anaweza kupata mimba pia
 
huu mtandao wa tigo bhana
Leo nmepigiwa simu na namba ngen ile napokea tu nikasikia saut ya msichana analia huku analalamika jaman mpenz yaani unaniacha me ntaenda wapi na huu ujauzito jaman wakati kijasho chembamba kinanitoka Mara nikasikia tena sauti ya kiume ikisema
kama umependa simulizi kama hii bonyeza moja kujiunga.....!
Jaman tigo wengine tunamajanga mtatuua kwa presha
 
Nyinyi ndio ndugu zangu Wa Ukweli Siwezi Kupata Dili Nikanyamaza. Lazima niwaambie. Huku kuna Nafasi Za Kwenda Jela Zimetoka, vip niwachukulie form au.?
 
Asante boss
Mfanyakazi: Boss leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha!, maji yamejaa kuzunguka nyumba yangu.
Boss: Kwenye maombi yako ya kazi uliandika Hobbi yako ni KUOGELEA...!! Tukutane kazini...!!
 
USHAURI WABURE KWA KINA KAKA. Kama unademu basi siku utakayo shinda nyumbani muite aje.akifika mkabizi jiko la mkaa mpe na maharage apike,yakiiva mpe unga asonge ugali,no samaki wala mboga zamajani.mkshakula mpigishe story mpaka jioni,alafu msindikize kwao kama mbali kidogo mpe 500 kwaajili yanauli.AKIRUDI TENA KWAKO BASI HUYO NDO MKE WAKUOA
 
Nilimzaba kibao mwanajeshi leo.... akakimbia
. Hapo nilitambua askari huyo ni feki. Tafadhali tuungane kutokomeza askari feki nchini.
Kivipi?????
Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo. Akikimbia basi ni feki, asipokimbia basi Mungu akutie nguvu
 
Jinsi ilivyo..
"Kiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume, , , , hii ina maana kuwa IKIWA kila Mwanaume atakuwa mwaminifu kwa mwenzie tangu KUZALIWA mpaka KUFA... Tafsiri ya haraka ni kuwa kuna Wanawake watazaliwa mpaka kufa bila Kuonja raha ya tendo la umoja ni nguvu"
Sasa unakuta eti mwanaume ana kademu kamoja, roho mbaya tu! Hawa wengine mnatuachia sie peke yetu kwani hatuchoki?
 
Ukipata mchumba Wa nchi nyingine kitandani unabidi ujitahidi ufanye show nzur sababu Unaliwakilisha Taifa
 
NAWAKUMBUSHA TU VIJANA
Hakuna binadamu anayeshika ujauzito haraka kama house girl
Hawapendagi ujinga
 
Ombi Ombi Ombi....
Maandiko yanasema_
Tafuteni nanyi mtapata,
Ombeni nanyi mtapewa na
Bisheni nanyi mtafunguliwa:
Ndugu zangu kama kuna mdada ambae hajaolewa na anahitaji Mume tafadhali usikae kulia tuuu ukisubiri ule usemi wa mume bora anatoka kwa Bwana Huyu bwana ana njia nyingi za kumleta Mume sasa hebu njoo PM
Natangulia
 
Back
Top Bottom