Mzuka wa jf umepungua

Mzuka wa jf umepungua

Kipindi najisajili humu kila mada nilikuwa naiona so interesting lakini kwa sasa naweza peruz kila jukwaa bila kufungua uzi hata Moja

Kweli mambo yanabadilika
Sasa,wewe kazi yako ni kukuta na kuperuzi tu.Wenzio wameumiza vichwa na kuandika unayoyakuta.Anza na wewe kuandika ili pawe interesting!
 
fata mada zako pendwa kama mimi mada zangu pendwa za minyanduano nipo ku refresh mambo ya fact na kuumiza kichwa kubishana na hoja humu nime waachia wengine una weza bishana na mtu kumbe hajui at
Napendelea jukwaa la uchumi na ujenzi lakini hakuna jipya pande izo
 
Kipindi najisajili humu kila mada nilikuwa naiona so interesting lakini kwa sasa naweza peruz kila jukwaa bila kufungua uzi hata Moja

Kweli mambo yanabadilika

Hii ni kawaida kupunguza interest ya jambo/kitu fulani ukizoea

Si unaona hata kei ukila siku ya kwanza amsha amsha inakuwa kali lakini ukianza kulala nayo unapitisha hata wiki hujala
 
Back
Top Bottom