supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wachungaji wa3 walikuwa wakielezeana matatizo yao ili waombeane,
Wa 1: Tatizo langu kila nikitoka kwenye ibada lazima niibe sadaka, naomba mniombee niache tabia hii.
Wa 2: Napenda sana wanawake kila mtu
napenda nilale nae, nishalala na waimba kwaya karibu wote, niombeeni niache tabia hii
Wa 3; akaanza kulia, wenzake wakamuuliza
we vipi mbona unalia, yeye akawaambia mimi tatizo langu ni umbea yaani mliyosema hapa yote lazima nikasimulie kanisani






Wa 1: Tatizo langu kila nikitoka kwenye ibada lazima niibe sadaka, naomba mniombee niache tabia hii.
Wa 2: Napenda sana wanawake kila mtunapenda nilale nae, nishalala na waimba kwaya karibu wote, niombeeni niache tabia hii
Wa 3; akaanza kulia, wenzake wakamuulizawe vipi mbona unalia, yeye akawaambia mimi tatizo langu ni umbea yaani mliyosema hapa yote lazima nikasimulie kanisani








