supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kucheka ni dawa kiafya ila ukicheka bila sababu unahitaji dawa.















































WAZO LA GHAFLANi kujukumu lako kumpatia na sio lazima akuombe

Nimemtembelea rafiki yangu nyumbani kwake mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa karibu kusonga ugali.ahahaha

AJIRA NGUMU!!
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya Banda la Simba, akawa anapiga kelele "Mama nakufaaa!"
Mara yule Simba akamwambia "Acha Ufala ww kelele za nini sasa, mimi mwenyewe Binadamu! rudi kwenye Banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia!![]()

Nakuwa na amani kama ndo sadaka niliyonayo... Naamni Mungu anaangilia utayari wa moyo kumtolea na sio kiwango kikubwa nitoachoWAZO LA GHAFLA
Hivi unajisikiaje pale kanisani wanapotangaza leo kutakuwa na sadaka 3 afu wewe unayo moja tu ambayo ni jero ya noti?![]()